Kuhusu madaraja ya leseni na magari yake

Umkonto umsizwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
454
Reaction score
949
Habari za jioni members naomba kufahamu kusu madaraja ya leseni na aina ya magari ambayo unaweza kuendesha
Kama ifuatavyo:

Class B
Class C
Class D
Class E

Natanguliza shukrani kwa mwmbers ambawo watashiriki kutoa elimu kwangu na Kwa wengine
View attachment 2756151
 
Attachments

Kiongozi Mimi ndiyo nataka kuanza soon kusoma veta chang'ombe
Haya soma hapa

1000123432.jpg
 
Chief karibu kwenye tasnia hii ya udereva

Madaraja ya leseni na maelezo kama ifuatavyo:

Daraja A,A1,A2 NA A3 NI kwa ajili ya pikipiki.

Daraja B NI MAGARI MADOGO YOTE AMBAYO HAYAJASAJILIWA KIBIASHARA YANI HAYANA PLATENAMBA NYEUPE.

DARAJA D NI MAGARI MADOGO NA MPAKA MWISHO YENYE UKUBWA WA TANI TATU NUSU MFANO CANTER PLATE NAMBA ZISIWE NYEUPE

DARAJA C1,C2,C3 HIZI NI KWA AJILI YA KUBEBA ABIRIA MFANO C1 NI COSTA NA EACHER ZINAZO BEBA ABIRIA PLATE NAMBA ZAKE NI NYEUPE

DARAJA C NI MABASI YA MKOA AU GARI INAYO BEBA ABIRIA KUANZIA 30 NA KUENDELEA

DARAJA E MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO KUANZI TANI TATU NA NUSU MPAKA NAKUENDELEA

UTANISAMEHE KWA MUANDIKO MBOVU MANA NATUMIA KITOCHI SO EDITING NYINGI NAONA UVIVU

THANKS
 
Kama huu ndiyo mwandiko wako mbaya, basi utakapouandika ule mzuri hata mtoto wa miaka miwili atakuelewa.

Hongera mkuu! Umeelezea vizuri kabisa.
 
Chief karibu kwenye tasnia hii ya udereva

Madaraja ya leseni na maelezo kama ifuatavyo:

Daraja A,A1,A2 NA A3 NI kwa ajili ya pikipiki.

Daraja B NI MAGARI MADOGO YOTE AMBAYO HAYAJASAJILIWA KIBIASHARA YANI HAYANA PLATENAMBA NYEUPE.

DARAJA D NI MAGARI MADOGO NA MPAKA MWISHO YENYE UKUBWA WA TANI TATU NUSU MFANO CANTER PLATE NAMBA ZISIWE NYEUPE

DARAJA C1,C2,C3 HIZI NI KWA AJILI YA KUBEBA ABIRIA MFANO C1 NI COSTA NA EACHER ZINAZO BEBA ABIRIA PLATE NAMBA ZAKE NI NYEUPE

DARAJA C NI MABASI YA MKOA AU GARI INAYO BEBA ABIRIA KUANZIA 30 NA KUENDELEA

DARAJA E MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO KUANZI TANI TATU NA NUSU MPAKA NAKUENDELEA

UTANISAMEHE KWA MUANDIKO MBOVU MANA NATUMIA KITOCHI SO EDITING NYINGI NAONA UVIVU

THANKS
Mkuu
Mimi natamani sana kupata leseni hata daraja B tu inatosha ila kuna jambo linaniumiza kichwa hivyo nashindwa pakuanzia unaweza nisaidia kwa mawazo?
 
Kupitia vyuo binafsi vya udereva ni simple maana mara nyingi wao hua unasoma na mchakato wa kukusaidia kupata leseni wanakufanyia hivyo itakua rahisi kidogo kama unahitaji kupitia shule lakin

Na kama mtaani tu inawezekena pia kwa daraja b na d hakuna usumbufu sana ila kwa upande wangu
sina raman kwa njia ya mtaani
 
Chief karibu kwenye tasnia hii ya udereva

Madaraja ya leseni na maelezo kama ifuatavyo:

Daraja A,A1,A2 NA A3 NI kwa ajili ya pikipiki.

Daraja B NI MAGARI MADOGO YOTE AMBAYO HAYAJASAJILIWA KIBIASHARA YANI HAYANA PLATENAMBA NYEUPE.

DARAJA D NI MAGARI MADOGO NA MPAKA MWISHO YENYE UKUBWA WA TANI TATU NUSU MFANO CANTER PLATE NAMBA ZISIWE NYEUPE

DARAJA C1,C2,C3 HIZI NI KWA AJILI YA KUBEBA ABIRIA MFANO C1 NI COSTA NA EACHER ZINAZO BEBA ABIRIA PLATE NAMBA ZAKE NI NYEUPE

DARAJA C NI MABASI YA MKOA AU GARI INAYO BEBA ABIRIA KUANZIA 30 NA KUENDELEA

DARAJA E MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO KUANZI TANI TATU NA NUSU MPAKA NAKUENDELEA

UTANISAMEHE KWA MUANDIKO MBOVU MANA NATUMIA KITOCHI SO EDITING NYINGI NAONA UVIVU

THANKS
Shukrani kiongozi umetisha sanaaaa
 
Et kiongozi ukiwa na daraja(D) unaweza ukaomba tra wakupe daraja A2 na B ikawa A2,B na D na gharama zake zikoje
 
ndio ndugu inawezeka

ndio inawezekana chief kikubwa gharama kama ifuatavyo 70,000/= ni ya kukata leseni kama ilivyo kawaida,

20,000/= ni ya lena ya daraja b na hio a2 kama ujuavyo lena kila daraja ni elf 10.

20,000/= ni ya gharama wenyewe wanaita mafuta kwa ajili ya test kwa vehicle. Hii haipo kwenye utaratibu so huenda ikawa juu au ikawa iko chini inategemea na office ya vehicle ulie karibu nae na gharama zao

3,000/= ni gharama za GRR
mpaka hapo baada ya wiki utakua na leseni ya madaraja ulio yataka hapo juu

NB: kwa kutokujua kwa watu wengi lakin kwa mara ya kwanza unataka kukata leseni inapendeza kukata leseni yenye madaraja haya A2,B,na D maana hayana mambo mengi. Ingawa utatikiswa kwenye cheti cha pikipiki lakn unamalizana nao kiutu uzima wanakuelewa.

Natumai nimetoa muongozo japo kwa ufupi.
 
Kwaiyo ntafanya test Kwa madaraja yote?
 
Et kiongozi ukiwa na daraja(D) unaweza ukaomba tra wakupe daraja A2 na B ikawa A2,B na D na gharama zake zikoje
Ki sheria kutoka daraja moja kwenda lingine ni kila baada ya miaka 2 ya kutumikia daraja la awali.
Utaratibu ni ule ule wa daraja la awali, isipokua kwa daktari tu unaweza usipite, uende chuoni kwanza maana TRA sio wanaotoa leseni za udereva bali wao ni wakusanyaji wa kodi ya dereva kupitia leseni ya dereva na kutoa ile kadi tuiitayo sisi kua ni leseni. (Najua hiki kiswahili hapo ni kigumu sana kukielewa maana hatukukizoea) kisheria kila daraja ktk leseni yako linatakiwa lionekane ktk cheti chako cha udereva kutoka chuoni kwako. Ukiona umepata cheti kabla ya leseni, sheria ilikiukwa. Hata cheti cha ndoa kinatolewa baada tu ya ndoa kufungwa na sio kabla.
 
Mkuu umenena sawa ila je kuna chuo chochote tanzania kinatoa cheti cha leseni daraja B naomba muongozo
 
Back
Top Bottom