Umkonto umsizwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 454
- 949
Kiongozi Mimi ndiyo nataka kuanza soon kusoma veta chang'ombeKule nyuma ya leseni wameandika vizuri.
Haya soma hapaKiongozi Mimi ndiyo nataka kuanza soon kusoma veta chang'ombe
Kama huu ndiyo mwandiko wako mbaya, basi utakapouandika ule mzuri hata mtoto wa miaka miwili atakuelewa.Chief karibu kwenye tasnia hii ya udereva
Madaraja ya leseni na maelezo kama ifuatavyo:
Daraja A,A1,A2 NA A3 NI kwa ajili ya pikipiki.
Daraja B NI MAGARI MADOGO YOTE AMBAYO HAYAJASAJILIWA KIBIASHARA YANI HAYANA PLATENAMBA NYEUPE.
DARAJA D NI MAGARI MADOGO NA MPAKA MWISHO YENYE UKUBWA WA TANI TATU NUSU MFANO CANTER PLATE NAMBA ZISIWE NYEUPE
DARAJA C1,C2,C3 HIZI NI KWA AJILI YA KUBEBA ABIRIA MFANO C1 NI COSTA NA EACHER ZINAZO BEBA ABIRIA PLATE NAMBA ZAKE NI NYEUPE
DARAJA C NI MABASI YA MKOA AU GARI INAYO BEBA ABIRIA KUANZIA 30 NA KUENDELEA
DARAJA E MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO KUANZI TANI TATU NA NUSU MPAKA NAKUENDELEA
UTANISAMEHE KWA MUANDIKO MBOVU MANA NATUMIA KITOCHI SO EDITING NYINGI NAONA UVIVU
THANKS
MkuuChief karibu kwenye tasnia hii ya udereva

Kupitia vyuo binafsi vya udereva ni simple maana mara nyingi wao hua unasoma na mchakato wa kukusaidia kupata leseni wanakufanyia hivyo itakua rahisi kidogo kama unahitaji kupitia shule lakinMkuu
Mimi natamani sana kupata leseni hata daraja B tu inatosha ila kuna jambo linaniumiza kichwa hivyo nashindwa pakuanzia unaweza nisaidia kwa mawazo?
Ahsante, pamoja mkuu.Kama huu ndiyo mwandiko wako mbaya, basi utakapouandika ule mzuri hata mtoto wa miaka miwili atakuelewa.
Hongera mkuu! Umeelezea vizuri kabisa.
Shukrani kiongozi umetisha sanaaaaChief karibu kwenye tasnia hii ya udereva
Madaraja ya leseni na maelezo kama ifuatavyo:
Daraja A,A1,A2 NA A3 NI kwa ajili ya pikipiki.
Daraja B NI MAGARI MADOGO YOTE AMBAYO HAYAJASAJILIWA KIBIASHARA YANI HAYANA PLATENAMBA NYEUPE.
DARAJA D NI MAGARI MADOGO NA MPAKA MWISHO YENYE UKUBWA WA TANI TATU NUSU MFANO CANTER PLATE NAMBA ZISIWE NYEUPE
DARAJA C1,C2,C3 HIZI NI KWA AJILI YA KUBEBA ABIRIA MFANO C1 NI COSTA NA EACHER ZINAZO BEBA ABIRIA PLATE NAMBA ZAKE NI NYEUPE
DARAJA C NI MABASI YA MKOA AU GARI INAYO BEBA ABIRIA KUANZIA 30 NA KUENDELEA
DARAJA E MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO KUANZI TANI TATU NA NUSU MPAKA NAKUENDELEA
UTANISAMEHE KWA MUANDIKO MBOVU MANA NATUMIA KITOCHI SO EDITING NYINGI NAONA UVIVU
THANKS
Mkuu
Mimi natamani sana kupata leseni hata daraja B tu inatosha ila kuna jambo linaniumiza kichwa hivyo nashindwa pakuanzia unaweza nisaidia kwa mawazo?
Et kiongozi ukiwa na daraja(D) unaweza ukaomba tra wakupe daraja A2 na B ikawa A2,B na D na gharama zake zikojeChief karibu kwenye tasnia hii ya udereva
Madaraja ya leseni na maelezo kama ifuatavyo:
Daraja A,A1,A2 NA A3 NI kwa ajili ya pikipiki.
Daraja B NI MAGARI MADOGO YOTE AMBAYO HAYAJASAJILIWA KIBIASHARA YANI HAYANA PLATENAMBA NYEUPE.
DARAJA D NI MAGARI MADOGO NA MPAKA MWISHO YENYE UKUBWA WA TANI TATU NUSU MFANO CANTER PLATE NAMBA ZISIWE NYEUPE
DARAJA C1,C2,C3 HIZI NI KWA AJILI YA KUBEBA ABIRIA MFANO C1 NI COSTA NA EACHER ZINAZO BEBA ABIRIA PLATE NAMBA ZAKE NI NYEUPE
DARAJA C NI MABASI YA MKOA AU GARI INAYO BEBA ABIRIA KUANZIA 30 NA KUENDELEA
DARAJA E MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO KUANZI TANI TATU NA NUSU MPAKA NAKUENDELEA
UTANISAMEHE KWA MUANDIKO MBOVU MANA NATUMIA KITOCHI SO EDITING NYINGI NAONA UVIVU
THANKS
ndio ndugu inawezekaEt kiongozi ukiwa na daraja(D) unaweza ukaomba tra wakupe daraja A2 na B ikawa A2,B na D na gharama zake zikoje
ndio inawezekana chief kikubwa gharama kama ifuatavyo 70,000/= ni ya kukata leseni kama ilivyo kawaida,Et kiongozi ukiwa na daraja(D) unaweza ukaomba tra wakupe daraja A2 na B ikawa A2,B na D na gharama zake zikoje
Iyo ni class gan?
Kwaiyo ntafanya test Kwa madaraja yote?ndio ndugu inawezeka
ndio inawezekana chief kikubwa gharama kama ifuatavyo 70,000/= ni ya kukata leseni kama ilivyo kawaida,
20,000/= ni ya lena ya daraja b na hio a2 kama ujuavyo lena kila daraja ni elf 10.
20,000/= ni ya gharama wenyewe wanaita mafuta kwa ajili ya test kwa vehicle. Hii haipo kwenye utaratibu so huenda ikawa juu au ikawa iko chini inategemea na office ya vehicle ulie karibu nae na gharama zao
3,000/= ni gharama za GRR
mpaka hapo baada ya wiki utakua na leseni ya madaraja ulio yataka hapo juu
NB: kwa kutokujua kwa watu wengi lakin kwa mara ya kwanza unataka kukata leseni inapendeza kukata leseni yenye madaraja haya A2,B,na D maana hayana mambo mengi. Ingawa utatikiswa kwenye cheti cha pikipiki lakn unamalizana nao kiutu uzima wanakuelewa.
Natumai nimetoa muongozo japo kwa ufupi.
Hapana, test ya daraja b na d ni moja tu na kuhusu pikipiki hakuna shida test ya gar inakutoshaKwaiyo ntafanya test Kwa madaraja yote?
Ki sheria kutoka daraja moja kwenda lingine ni kila baada ya miaka 2 ya kutumikia daraja la awali.Et kiongozi ukiwa na daraja(D) unaweza ukaomba tra wakupe daraja A2 na B ikawa A2,B na D na gharama zake zikoje
Hakuna sheria kama hiyo. Testi ya gari ukathibitishwe kuendesha chombo tofauti na gari.Hapana, test ya daraja b na d ni moja tu na kuhusu pikipiki hakuna shida test ya gar inakutosha
Najua hilo chief kinacho fanyika hapo ni maongezi tu kilakitu kinakua sawa rejea vizur post yangu na ndio maana nikaandika kua munamalizana kiutu uzima tu anakuelewaHakuna sheria kama hiyo. Testi ya gari ukathibitishwe kuendesha chombo tofauti na gari.
Hivyo ni vyombo viwili tofauti mkuu.
Mkuu umenena sawa ila je kuna chuo chochote tanzania kinatoa cheti cha leseni daraja B naomba muongozoKi sheria kutoka daraja moja kwenda lingine ni kila baada ya miaka 2 ya kutumikia daraja la awali.
Utaratibu ni ule ule wa daraja la awali, isipokua kwa daktari tu unaweza usipite, uende chuoni kwanza maana TRA sio wanaotoa leseni za udereva bali wao ni wakusanyaji wa kodi ya dereva kupitia leseni ya dereva na kutoa ile kadi tuiitayo sisi kua ni leseni. (Najua hiki kiswahili hapo ni kigumu sana kukielewa maana hatukukizoea) kisheria kila daraja ktk leseni yako linatakiwa lionekane ktk cheti chako cha udereva kutoka chuoni kwako. Ukiona umepata cheti kabla ya leseni, sheria ilikiukwa. Hata cheti cha ndoa kinatolewa baada tu ya ndoa kufungwa na sio kabla.