The Cock JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 247 Reaction score 399 Apr 12, 2025 #1 Itakumbukwa mwaka jana watumishi walioajiriwa 2005 kurudi nyuma waliseleleka hadi daraja G by default bila kujali daraja alilokuwepo! Je, ajira za 2006 na kuendelea tukae mkao wa kula mwezi ujao?
Itakumbukwa mwaka jana watumishi walioajiriwa 2005 kurudi nyuma waliseleleka hadi daraja G by default bila kujali daraja alilokuwepo! Je, ajira za 2006 na kuendelea tukae mkao wa kula mwezi ujao?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 12, 2025 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw