Kuhusu maombi ya sanctions for Nigeria

Kuhusu maombi ya sanctions for Nigeria

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Wakuu naomba kujua hivi hili suala la kuomba Nigeria iwekewe vikwazo na nchi za magharibi, linaweza kuleta positive effects zozote kwa wanaijeria au zaidi zitakuwa negative effects tu?

Nimeona Burnaboy anasainisha petition kuhusu hili suala na watu wa uingereza zaidi ya laki moja wameshasaini, kwamba kuna possibility kubwa ya kukubaliwa endapo bunge watalijadili.
 
Inategemea sanctions za nini.

Kama ni biashara au misaada ambayo haiwafaidishi wananchi wa kawaida anyway, then hata nchi ikiwekewa vikwazo maisha ya wananchi wanaopigika wataendelea kupigika vile vile.

Ila, wanaoishi "kama malaika" sasa hivi na wao labda wataishi "kama mashetani".
 
Inategemea sanctions za nini.

Kama ni biashara au misaada ambayo haiwafaidishi wananchi wa kawaida anyway, then hata nchi ikiwekewa vikwazo maisha ya wananchi wanaopigika wataendelea kupigika vile vile.

Ila, wanaoishi "kama malaika" sasa hivi na wao kabda wataishi "kama mashetani".
Kwani mkuu wewe una amini "malaika" na "mashetani"?
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Halafu jua tofauti ya "malaika" na malaika.

Kama hujui, omba ufundishwe.

Unaposema huyu ana mkono mrefu, kwa maana ya kwamba ni mwizi, unamaanisha mkono wake ni mrefu ukiupima kwa ruler?

Unauliza kwa kutaka kujua au unaninyanyapaa tu?
 
PetitionImplement sanctions against the Nigerian Government and officials​

The Government should explore using the new sanctions regime that allows individuals and entities that violate human rights around the world to be targeted, to impose sanctions on members of the Nigerian government and police force involved in any human rights abuses by the Nigerian police.
More detailsSign this petition
201,268 signatures

Show on a map
100,000

Parliament will consider this for a debate​

Parliament considers all petitions that get more than 100,000 signatures for a debate
Waiting for less than a day for a debate date

Government will respond​

Government responds to all petitions that get more than 10,000 signatures
Waiting for 1 day for a government response

Share this petition​

Vikwazo si suluhisho ya kudumu kwa jamii yenye mgawanyiko mkubwa wa kikabili, kidini,kiitikadi na kisiasa kama Nigeria, sana sana itaumiza wengi
 
Sasa kuishi "kama malaika" na kuishi "kama mashetani" una maana gani hapo?

Kwa nini "kama malaika" na "kama mashetani"?

Hao "malaika" na hao "mashetani" ni viumbe gani hadi uwatolee mifano? Sifa za kuishi kwao zikoje?
 
Na umeandika unataka "kujua" na siyo "kuamini" kwanini utumie mifano ya vitu ambayo huvijui?
 
Sasa kuishi "kama malaika" na kuishi "kama mashetani" una maana gani hapo?

Kwa nini "kama malaika" na "kama mashetani"?

Hao "malaika" na hao "mashetani" ni viumbe gani hadi uwatolee mifano? Sifa za kuishi kwao zikoje?
Huo msemo umetokea kwa rais Magufuli akimaanisha utawala wake utawafanya watu wanaoishi maisha ya hali ya juu sana bila uhalali waishi maisha ya chini sana.

Huo ndio muktadha ambao mtu anayejua kusoma kwa ufahamu na kujua historia ya msemo huo anatakiwa kufahamu.

Wewe ama ni mbumbumbu usiyejua kusoma kwa uafahamu, ama ni troll unayetaka kubishana tu.

Get off my dilsnick already!
 
Wakuu naomba kujua hivi hili suala la kuomba Nigeria iwekewe vikwazo na nchi za magharibi, linaweza kuleta positive effects zozote kwa wanaijeria au zaidi zitakuwa negative effects tu?

Nimeona Burnaboy anasainisha petition kuhusu hili suala na watu wa uingereza zaidi ya laki moja wameshasaini, kwamba kuna possibility kubwa ya kukubaliwa endapo bunge watalijadili.
Burnaboy ni mpuuzi sana, Corona yenyewe imewapeleka putaa, bado analeta ujinga wa vikwazo, anatakiwaaa apewee kesi ya uhaini
 
hawa wajinga wanajiita wasanii wanaleta usanii mpaka kwenye maisha ya watu.saa hizi wako twitter wamemaliza uwakala waliotumwa wamekaa pembeni wanaangalia.

sijui kama hata wanajua vikwazo ni kitu gani.
 
Inategemea sanctions za nini.

Kama ni biashara au misaada ambayo haiwafaidishi wananchi wa kawaida anyway, then hata nchi ikiwekewa vikwazo maisha ya wananchi wanaopigika wataendelea kupigika vile vile.

Ila, wanaoishi "kama malaika" sasa hivi na wao kabda wataishi "kama mashetani".
Kweli mkuu, walala hoi ndo watateseka zaidi
 
PetitionImplement sanctions against the Nigerian Government and officials​

The Government should explore using the new sanctions regime that allows individuals and entities that violate human rights around the world to be targeted, to impose sanctions on members of the Nigerian government and police force involved in any human rights abuses by the Nigerian police.
More detailsSign this petition
201,268 signatures

Show on a map
100,000

Parliament will consider this for a debate​

Parliament considers all petitions that get more than 100,000 signatures for a debate
Waiting for less than a day for a debate date

Government will respond​

Government responds to all petitions that get more than 10,000 signatures
Waiting for 1 day for a government response

Share this petition​

Kama iko hivi basi itakuwa kheri kidogo, nilijua labda ni sanctions against Nigeria as whole.
 
Vikwazo si suluhisho ya kudumu kwa jamii yenye mgawanyiko mkubwa wa kikabili, kidini,kiitikadi na kisiasa kama Nigeria, sana sana itaumiza wengi
Kweli kabisa sio suala zuri hasa kwa wananchi masikini
 
hawa wajinga wanajiita wasanii wanaleta usanii mpaka kwenye maisha ya watu.saa hizi wako twitter wamemaliza uwakala waliotumwa wamekaa pembeni wanaangalia.

sijui kama hata wanajua vikwazo ni kitu gani.
Hii kitu nahisi kama wamefanya kwa mihemko, Ina madhara sana
 
Back
Top Bottom