Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,653
- 2,792
- Thread starter
- #21
Kweli mkuu, kama ni hivyo basi ni kheriKwa kuangalia post #5 (thanks to Sky Eclat ) vikwazo vinapangwa kuwa kwa viongozi.
Inaonekana wananchi wanataka vikwazo vijikite kwa viongozi.
Wapigwe ban personally, kwa mfano, kama ile aliyopigwa Bashite kwenda Marekani.
Kama ni hivyo, vikwazo hivyo haviwahusu wananchi.