Kwani mkuu wewe una amini "malaika" na "mashetani"?Inategemea sanctions za nini.
Kama ni biashara au misaada ambayo haiwafaidishi wananchi wa kawaida anyway, then hata nchi ikiwekewa vikwazo maisha ya wananchi wanaopigika wataendelea kupigika vile vile.
Ila, wanaoishi "kama malaika" sasa hivi na wao kabda wataishi "kama mashetani".
Sitaki kuamini, nataka kujua.Kwani mkuu wewe una amini "malaika" na "mashetani"?
Sasa kuishi "kama malaika" na kuishi "kama mashetani" una maana gani hapo?Sitaki kuamini, nataka kujua.
Halafu jua tofauti ya "malaika" na malaika.
Kama hujui, omba ufundishwe.
Unaposema huyu ana mkono mrefu, kwa maana ya kwamba ni mwizi, unamaanisha mkono wake ni mrefu ukiupima kwa ruler?
Unauliza kwa kutaka kujua au unaninyanyapaa tu?
Na umeandika unataka "kujua" na siyo "kuamini" kwanini utumie mifano ya vitu ambayo huvijui?Sitaki kuamini, nataka kujua.
Halafu jua tofauti ya "malaika" na malaika.
Kama hujui, omba ufundishwe.
Unaposema huyu ana mkono mrefu, kwa maana ya kwamba ni mwizi, unamaanisha mkono wake ni mrefu ukiupima kwa ruler?
Unauliza kwa kutaka kujua au unaninyanyapaa tu?
Unataka kunipangia mifano ya kutumia?Na umeandika unataka "kujua" na siyo "kuamini" kwanini utumie mifano ya vitu ambayo huvijui?
Huo msemo umetokea kwa rais Magufuli akimaanisha utawala wake utawafanya watu wanaoishi maisha ya hali ya juu sana bila uhalali waishi maisha ya chini sana.Sasa kuishi "kama malaika" na kuishi "kama mashetani" una maana gani hapo?
Kwa nini "kama malaika" na "kama mashetani"?
Hao "malaika" na hao "mashetani" ni viumbe gani hadi uwatolee mifano? Sifa za kuishi kwao zikoje?
Burnaboy ni mpuuzi sana, Corona yenyewe imewapeleka putaa, bado analeta ujinga wa vikwazo, anatakiwaaa apewee kesi ya uhainiWakuu naomba kujua hivi hili suala la kuomba Nigeria iwekewe vikwazo na nchi za magharibi, linaweza kuleta positive effects zozote kwa wanaijeria au zaidi zitakuwa negative effects tu?
Nimeona Burnaboy anasainisha petition kuhusu hili suala na watu wa uingereza zaidi ya laki moja wameshasaini, kwamba kuna possibility kubwa ya kukubaliwa endapo bunge watalijadili.
Kweli mkuu, walala hoi ndo watateseka zaidiInategemea sanctions za nini.
Kama ni biashara au misaada ambayo haiwafaidishi wananchi wa kawaida anyway, then hata nchi ikiwekewa vikwazo maisha ya wananchi wanaopigika wataendelea kupigika vile vile.
Ila, wanaoishi "kama malaika" sasa hivi na wao kabda wataishi "kama mashetani".
Kama iko hivi basi itakuwa kheri kidogo, nilijua labda ni sanctions against Nigeria as whole.PetitionImplement sanctions against the Nigerian Government and officials
The Government should explore using the new sanctions regime that allows individuals and entities that violate human rights around the world to be targeted, to impose sanctions on members of the Nigerian government and police force involved in any human rights abuses by the Nigerian police.
More detailsSign this petition
201,268 signatures
Show on a map
100,000
Parliament will consider this for a debate
Parliament considers all petitions that get more than 100,000 signatures for a debate
Waiting for less than a day for a debate date
Government will respond
Government responds to all petitions that get more than 10,000 signatures
Waiting for 1 day for a government response
Share this petition
Hii kitu nahisi kama wamefanya kwa mihemko, Ina madhara sanahawa wajinga wanajiita wasanii wanaleta usanii mpaka kwenye maisha ya watu.saa hizi wako twitter wamemaliza uwakala waliotumwa wamekaa pembeni wanaangalia.
sijui kama hata wanajua vikwazo ni kitu gani.
Kweli mkuu, walala hoi ndo watateseka zaidi