Kwa kuangalia post #5 (thanks to
Sky Eclat ) vikwazo vinapangwa kuwa kwa viongozi.
Inaonekana wananchi wanataka vikwazo vijikite kwa viongozi.
Wapigwe ban personally, kwa mfano, kama ile aliyopigwa Bashite kwenda Marekani.
Kama ni hivyo, vikwazo hivyo haviwahusu wananchi.