Kuhusu Maridhiano ya Kisiasa Kitaifa na Wabunge 19 waliokuwa wanaCHADEMA

Mangisandy

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
2,644
Reaction score
2,273
Wakati huu wa kuelekea maridhiano ya kitaifa kwa siasa za Tanzania, CHADEMA tujitathimini pia, hasa kuhusu Mzee Halima na wenzake!

Ni kweli wapo bungeni kwa makosa, Mahera na nani sijui kwenye chama walifanya yao, lakini ni mbunge gani yupo pale kihalali?! Majaliwa au Ndugayi?
Najua maamuzi magumu zaidi ambayo rais SSH angefanya lakini Hawezi kufanya, ni kuvunja bunge, tuanze upya! Kama rais havunji bunge na wabunge wote wa ccm, waliobebwa kwa nia ya kwenda kufanya mabadiliko ya ukomo wa urais, bado wapo, mle, why not covid-19!??!

Shime wakuu, bunge ni letu na Tanzania ni yetu sote, hata kama Mzee Halima na COVID-19 wenzake wametukosea, tuwasamehe, tuwaache wale keki ya taifa! Kwa sababu, hata hao wengine, kama siyo Mwendazake, wasingekua pale!
#kazi iendelee!
 
Hawakufuata utaratibu wa chama

Kama wanataka kueleweka wajiuzulu kwanza halafu warudi kufuata mchakato
 
Waendelee kuunga mkono juhudi. Chadema kama Chama cha Siasa walishamaliza kazi yao. Kazi kwa wanaotafsiri Sheria.
 
Wale wataendelea kuwa wabunge wa chadema. Akishaamua Mbowe nyinyi wachimba chumvi hamna ujanja zaidi ya kufata anachotaka mbowe.
 
Kazi ya imebaki kwa ndugai Chadema walishamalizana nao, hilo lipo wazi
 
Covid 19 ni wabunge halali kama walivyo wabunge wengine waliopo Bungeni.
Wanaotamani wafukuzwe Bungeni minawapa pole sana.
 
Hawakufuata utaratibu wa chama

Kama wanataka kueleweka wajiuzulu kwanza halafu warudi kufuata mchakato
Ni kweli mkuu, ila nilikua nawaza tu kwamba, tukitaka maridhiano ni lazima pande zote mbili zikubali kupoteza! Kuna mabaya ya awamu ya 5, ambayo itabidi tushi nayo kwa sababu, yataitaji muda mrefu kuyarekebisha!

Kwa mfano, Mazaa angetakiwa avunje bunge lote, aunde tume huru, turudi kwenye uchaguzi! Lakini ni jambo gumu, ambalo hakuna mwanaume amewahi kulifanya, na wamekuwepo watano kwenye kile kitu!
 
Covid 19 ni wabunge halali kama walivyo wabunge wengine waliopo Bungeni.
Wanaotamani wafukuzwe Bungeni minawapa pole sana.
Mkuu Nawatafuna, tafunaneni tu, lakini hapa tunajadili kuhusu maridhiano, mambo ya uhalali wa walio bungeni hayana haja ya kujadiliwa kwa sababu ni kati ya mambo ya awamu ya mwendazake ambayo hatuwezi kuyarekebisha kwa sasa!
 
Wale wataendelea kuwa wabunge wa chadema. Akishaamua Mbowe nyinyi wachimba chumvi hamna ujanja zaidi ya kufata anachotaka mbowe.
Mbowe anasingiziwa tu mkuu! CHADEMA ni chama cha Watanzania wote, siyo cha Mbowe! Kinacho mpata Mbowe ni suala la uongozi, anapewa kashfa zote, ikiwepo hii ya kwako, kwa sababu ya uongozi wake dhabiti!
 
Wakati huu wa kuelekea maridhiano ya kitaifa kwa siasa za Tanzania, CHADEMA tujitathimini pia, hasa kuhusu Mzee Halima na wenzake!

Ni kweli wapo bungeni kwa makosa, Mahera na nani sijui kwenye chama walifanya yao, lakini ni mbunge gani yupo pale kihalali?! Majaliwa au Ndugayi?
Najua maamuzi magumu zaidi ambayo rais SSH angefanya lakini Hawezi kufanya, ni kuvunja bunge, tuanze upya! Kama rais havunji bunge na wabunge wote wa ccm, waliobebwa kwa nia ya kwenda kufanya mabadiliko ya ukomo wa urais, bado wapo, mle, why not covid-19!??!

Shime wakuu, bunge ni letu na Tanzania ni yetu sote, hata kama Mzee Halima na covid wenzake wametukosea, tuwasamehe, tuwaache wale keki ya taifa! Kwa sababu, hata hao wengine, kama siyo Mwendazake, wasingekua pale!
#kazi iendelee!
Wanaosaliti taifa ni hao
 
Mkuu Nawatafuna, tafunaneni tu, lakini hapa tunajadili kuhusu maridhiano, mambo ya uhalali wa walio bungeni hayana haja ya kujadiliwa kwa sababu ni kati ya mambo ya awamu ya mwendazake ambayo hatuwezi kuyarekebisha kwa sasa!
Labda haya maneno yako yazingatiwe na Bawacha waliofanya press jana na kuchomekea kuhusu kuondolewa kwa Covid-19.
 
BAWACHA ni wanawake wanao jielewa na wana hekima! Watatuletea mwarobaini wa hili tatizo, kwa kushirikiana na chama.
 
Wale wataendelea kuwa wabunge wa chadema. Akishaamua Mbowe nyinyi wachimba chumvi hamna ujanja zaidi ya kufata anachotaka mbowe.
acha uongo lini mbowe kawatambua hao covid ni wabunge wa chadeema?
 
Screenshot_20210423-003154.png
 
Wakati huu wa kuelekea maridhiano ya kitaifa kwa siasa za Tanzania, CHADEMA tujitathimini pia, hasa kuhusu Mzee Halima na wenzake!

Ni kweli wapo bungeni kwa makosa, Mahera na nani sijui kwenye chama walifanya yao, lakini ni mbunge gani yupo pale kihalali?! Majaliwa au Ndugayi?
Najua maamuzi magumu zaidi ambayo rais SSH angefanya lakini Hawezi kufanya, ni kuvunja bunge, tuanze upya! Kama rais havunji bunge na wabunge wote wa ccm, waliobebwa kwa nia ya kwenda kufanya mabadiliko ya ukomo wa urais, bado wapo, mle, why not covid-19!??!

Shime wakuu, bunge ni letu na Tanzania ni yetu sote, hata kama Mzee Halima na covid wenzake wametukosea, tuwasamehe, tuwaache wale keki ya taifa! Kwa sababu, hata hao wengine, kama siyo Mwendazake, wasingekua pale!
#kazi iendelee!
Two wrongs don't make right
 
Back
Top Bottom