Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,644
- 2,273
Ni kweli mkuu, ila nilikua nawaza tu kwamba, tukitaka maridhiano ni lazima pande zote mbili zikubali kupoteza! Kuna mabaya ya awamu ya 5, ambayo itabidi tushi nayo kwa sababu, yataitaji muda mrefu kuyarekebisha!Hawakufuata utaratibu wa chama
Kama wanataka kueleweka wajiuzulu kwanza halafu warudi kufuata mchakato
Mkuu Nawatafuna, tafunaneni tu, lakini hapa tunajadili kuhusu maridhiano, mambo ya uhalali wa walio bungeni hayana haja ya kujadiliwa kwa sababu ni kati ya mambo ya awamu ya mwendazake ambayo hatuwezi kuyarekebisha kwa sasa!Covid 19 ni wabunge halali kama walivyo wabunge wengine waliopo Bungeni.
Wanaotamani wafukuzwe Bungeni minawapa pole sana.
Mbowe anasingiziwa tu mkuu! CHADEMA ni chama cha Watanzania wote, siyo cha Mbowe! Kinacho mpata Mbowe ni suala la uongozi, anapewa kashfa zote, ikiwepo hii ya kwako, kwa sababu ya uongozi wake dhabiti!Wale wataendelea kuwa wabunge wa chadema. Akishaamua Mbowe nyinyi wachimba chumvi hamna ujanja zaidi ya kufata anachotaka mbowe.
Wanaosaliti taifa ni haoWakati huu wa kuelekea maridhiano ya kitaifa kwa siasa za Tanzania, CHADEMA tujitathimini pia, hasa kuhusu Mzee Halima na wenzake!
Ni kweli wapo bungeni kwa makosa, Mahera na nani sijui kwenye chama walifanya yao, lakini ni mbunge gani yupo pale kihalali?! Majaliwa au Ndugayi?
Najua maamuzi magumu zaidi ambayo rais SSH angefanya lakini Hawezi kufanya, ni kuvunja bunge, tuanze upya! Kama rais havunji bunge na wabunge wote wa ccm, waliobebwa kwa nia ya kwenda kufanya mabadiliko ya ukomo wa urais, bado wapo, mle, why not covid-19!??!
Shime wakuu, bunge ni letu na Tanzania ni yetu sote, hata kama Mzee Halima na covid wenzake wametukosea, tuwasamehe, tuwaache wale keki ya taifa! Kwa sababu, hata hao wengine, kama siyo Mwendazake, wasingekua pale!
#kazi iendelee!
Tukubaliane kwamba wasaliti wa taifa siyo covid-19 peke yao! Kupata msafi mle ni Sawa Sawa na kupata bikra kwenye ward ya wazazi!Wanaosaliti taifa ni hao
Labda haya maneno yako yazingatiwe na Bawacha waliofanya press jana na kuchomekea kuhusu kuondolewa kwa Covid-19.Mkuu Nawatafuna, tafunaneni tu, lakini hapa tunajadili kuhusu maridhiano, mambo ya uhalali wa walio bungeni hayana haja ya kujadiliwa kwa sababu ni kati ya mambo ya awamu ya mwendazake ambayo hatuwezi kuyarekebisha kwa sasa!
BAWACHA ni wanawake wanao jielewa na wana hekima! Watatuletea mwarobaini wa hili tatizo, kwa kushirikiana na chama.Labda haya maneno yako yazingatiwe na Bawacha waliofanya press jana na kuchomekea kuhusu kuondolewa kwa Covid-19.
acha uongo lini mbowe kawatambua hao covid ni wabunge wa chadeema?Wale wataendelea kuwa wabunge wa chadema. Akishaamua Mbowe nyinyi wachimba chumvi hamna ujanja zaidi ya kufata anachotaka mbowe.
Mataga wanademka?!Hii ishu DJ anaijua. Na wanakula ruzuku saivi..
Nyumbu mnachezeshwa singeli
Two wrongs don't make rightWakati huu wa kuelekea maridhiano ya kitaifa kwa siasa za Tanzania, CHADEMA tujitathimini pia, hasa kuhusu Mzee Halima na wenzake!