Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Upo sahihi mkuu, lakini kuwachomoa Mzee Halima na wenzake mle, hakulifanyi bunge liwe halali pia! Kama kutakua na maridhiano yoyote kati ya Mazaa na wapinzani, tutatakiwa tuwepo kwenye viwanja vyote vya kisiasa, ikiwepo kwa Ndugayi! Mama zetu hawa ni vizuri wakawepo ndani, we don’t want to loose track of what is going on in there, na watu 20 siyo kidogo!Two wrongs don't make right
Na pia hili ni suala la uanza upya kwa kumpa SSH nafasi ya kurekebisha nakurudisha nchi yetu kwenye right track! Kusema tuzipige chenga nafasi zote 20, ni uzembe mkubwa!Mleta mada umeeleweka vizuri. Kinachotakiwa ni hao kinadada kuomba radhi chamani, naamini watasamehewa. Sio jambo la kufurahia kwa chama kupoteza wanachama nguli kama wale hata kama walikosea. Imeandikwa "Samehe 7 mara 70."
Asilima kubwa ya wabunge wamo mle ndani pasi na uhalali wowote.
YESU ANAOKOA
Sio uzembe tu, ni ujinga pia.Na pia hili ni suala la uanza upya kwa kumpa SSH nafasi ya kurekebisha nakurudisha nchi yetu kwenye right track! Kusema tuzipige chenga nafasi zote 20, ni uzembe mkubwa!
Kwanini wasamehewe? Usaliti wao uko kwenye Damu Chadema haina Upungufu wa Wanachama baada ya hao Covid-19 Wameingia MamiaWakati huu wa kuelekea maridhiano ya kitaifa kwa siasa za Tanzania, CHADEMA tujitathimini pia, hasa kuhusu Mzee Halima na wenzake!
Ni kweli wapo bungeni kwa makosa, Mahera na nani sijui kwenye chama walifanya yao, lakini ni mbunge gani yupo pale kihalali?! Majaliwa au Ndugayi?
Najua maamuzi magumu zaidi ambayo rais SSH angefanya lakini Hawezi kufanya, ni kuvunja bunge, tuanze upya! Kama rais havunji bunge na wabunge wote wa ccm, waliobebwa kwa nia ya kwenda kufanya mabadiliko ya ukomo wa urais, bado wapo, mle, why not covid-19!??!
Shime wakuu, bunge ni letu na Tanzania ni yetu sote, hata kama Mzee Halima na covid wenzake wametukosea, tuwasamehe, tuwaache wale keki ya taifa! Kwa sababu, hata hao wengine, kama siyo Mwendazake, wasingekua pale!
#kazi iendelee!
Mzee Halima na wenzake wana watu nyuma yao, usihesabu tu 1Kwanini wasamehewe? Usaliti wao uko kwenye Damu Chadema haina Upungufu wa Wanachama baada ya hao Covid-19 Wameingia Mamia