Kuhusu Mashine ya Kuatamisha mayai(Incubators) Majibu ya TRA

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wakuu nilikuwa na mpango wa Kuagiza mashine kutoka China na nisha pata hadi Proformal Invoice, Ila baada ya kuwasiliana na Ma agent walinipigia ghalama za kufa mtu ikiwemo kodi, Ikabidi nifuatilie TRA makao mamkuu, na wlicho nijibu ni kwamba hazilipiwi Kodi, so kumbe ni usanii wa Ma agent kutaka cha juu, so kuweni makini sana na ma agent wa Bongo wizi mwingi sana
 
Agent wengi sio waaminifu. Mimi walitaka kunibambikizia gharama za kodi kwa vifaa vya hospitali visivyolipiwa kodi.
 
Jamaa ni wasanii sana, walinipigia ghalama za kutoa mzigo bandalini zinazidi mara 3 bei ya mashine yenyewe,
 
Na sijui Agent mwaminifi ni yupi make hata ghalama zingine kuacha kodi ni za kupandikiza na ukitaka kujua hilo wewe fanya mawasiliano na Agent zaidi ya wawili, kila mmoja anakuja na ghalama tofauti za Bandalini, utazani kila agent anatozwa ghalama tofauti
 
Taja jina la hiyo Kampuni kaka, hawa maajenti wengi siyo wakweli wana utapeli flani hivi!
 
 
kwani zinauzwa bei gani mkuu,
kuna my sister alishaga tapeliwa na mchungaji mmoja kutoka malawi kuwa angewaletea hizo machine, kala pesa kaingia mitini ikabaki hadithi.
 
 
 
 
 
 
Mkuu Chasha,

Uzoefu ni mwalimu mzuri just do it utajua gharama halisi na taratibu zote zinazotakiwa.

Na from my advice fanya clearance mwenyewe tafuta agent wakupitishia docs zako kisha ingia kazini.

Tusijenge uwoga kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe na pia tujenge spirit ya kuwaamini wengine.Ukimuogopa kila mtu kwa kumuita tapeli haitajenga bali tutazoofika kwa woga wetu.
 
 
kwa uelewa wangu ni kuwa machine zote zinazoagizwa kwa ajili ya kilimo hazilipiwi kodi hpa nchini madhalani trecta hazilipiwi na hivyo hivyo nahisi pia hizo machine za kutotolea nazo hazilipiwi
 
mkuu ulifanikiwa kuileta, je ulilipa kodi kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…