kwa nini kila Agent anakuja na ghalama tofauti ukiachilia mbali zile fees zao?
Lazima ujue kuwa hizo ni cost estimates haziwezi kuwa sawa.
Pia watu wanachukua Hs code ya mzigo kisha wanafanya cost estimates tu.
gharama na estimates zinatofautiana kulingana na aina ya wakala mfano.
ukiwa na mzigo ambao haujai container lazima uwekwe pamoja na mizigo mingine ili ijaze container moja hivyo doc ya mzigo wako atapewa yule mwenye mzigo mkubwa na wewe unatakiwa ulipie consolidation fee ili upewe doc zako toka kwa consolidator.kila consolidator ana gharama zake kuanzia usd100 -usd 200 so hapo agent anaweza aka estimate tu na wakatofautiana na mwingine.
Agent mwingine anaweza weka documentation charges tofauti na mwingine kwani hayo ni makadirio tuu,docs zako zaweza kuwa na kasoro zikahitaji Alteration haifanywi bure unalipia.
Yapo mengi tu yanayoleta tofauti.