Mkuu huo mtaji tukiendelea kubet mbona unazalisha fasta kuliko viwanda mara mjomba TRA huyu hapaWakuu kwema
Nimepewa idea ya kuwa na kiwandq kidogo cha kukamulia mafuta ya alizeti na nafaka zingine kama pamba na mbegu za maboga
Kwa mujibu wa mdau anasema inaingiza pesa nzuri sana kukamulisha alizeti mkoa Singida
Nataka nijue kwanza bei za hizi mashine za kukamulia alizeti ili nikokotoe mahesabu return yake itakuaje na kwa muda gani
Natumaini humu ndani kuna wajuzi watanipa mwanga wa bei na wapi naweza zipata kwa bei angalau
Nawasilisha
Mkuu usiangalie gharama ya machine Bali zingatia pesa utakayo weka kwenye kununua AlizetiWakuu kwema

CC PTER