Kuhusu Mashine za kukamulia alizeti

Kuhusu Mashine za kukamulia alizeti

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Wakuu kwema

Nimepewa idea ya kuwa na kiwandq kidogo cha kukamulia mafuta ya alizeti na nafaka zingine kama pamba na mbegu za maboga

Kwa mujibu wa mdau anasema inaingiza pesa nzuri sana kukamulisha alizeti mkoa Singida

Nataka nijue kwanza bei za hizi mashine za kukamulia alizeti ili nikokotoe mahesabu return yake itakuaje na kwa muda gani

Natumaini humu ndani kuna wajuzi watanipa mwanga wa bei na wapi naweza zipata kwa bei angalau

Nawasilisha
CC PTER
 
Mkuu huo mtaji tukiendelea kubet mbona unazalisha fasta kuliko viwanda mara mjomba TRA huyu hapa
 
Wakuu kwema

Nimepewa idea ya kuwa na kiwandq kidogo cha kukamulia mafuta ya alizeti na nafaka zingine kama pamba na mbegu za maboga

Kwa mujibu wa mdau anasema inaingiza pesa nzuri sana kukamulisha alizeti mkoa Singida

Nataka nijue kwanza bei za hizi mashine za kukamulia alizeti ili nikokotoe mahesabu return yake itakuaje na kwa muda gani

Natumaini humu ndani kuna wajuzi watanipa mwanga wa bei na wapi naweza zipata kwa bei angalau

Nawasilisha
CC PTER
Mkuu usiangalie gharama ya machine Bali zingatia pesa utakayo weka kwenye kununua Alizeti

Ipo ivi endapo ukitegemea mkulima aje kukamua kwako basi utakamua kwanzia mwezi wa sita hadi wa nane then iyo miezi mingine unaweza usikamue kabisa ivyo utajikuta ndani ya mwaka unafanya kazi miezi mitatu tuu then iyo mengine unafunga kiwanda maana mzigo akuna

Wakulima wengi wanakamua mapema then wanatunza mafuta ndani maana kutunza mafuta ni lahisi kuliko alizeti so inabid uwe makini kwenye ilo

Kwaiyo inabidi upate mzigo wa kutosha ili uweze kukamua angalau kwanzia mwezi wa tisa hadi wa kwanza mwishoni pindi wakulima watakavyo maliza kukamua sasa wewe ndio unaanza kukamua alizeti yako apo utapata faida lkn ukisema utegemee wakulima Mkuu utajuta kwa nn ulifanya uwekezaji apo

Kila lakheli Mkuu
 
Back
Top Bottom