Kuhusu mashine za kukoboa na kusaga nafaka..

Kuhusu mashine za kukoboa na kusaga nafaka..

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,458
Reaction score
983
Habari zenu wadau, nilikua nauliza km kuna mtu humu ndani anafahamu upatikanaji wa machine za kusaga na kukobolea nafaka, tafadhali naomba anijuze..


Alafu Kama wewe ni [Mbongo]
Mtanzania na unapenda kilicho cha
nyumbani kwako na ili tuweze
kikuza na kuendeleza
kilicho chetu tafadhali, like facebook page yetu, na follow katika twitter.. kwa kubofya anuani hizi hapa..

http://facebook.com/
BeachbornCompanyLtd

http://twitter.com/
BeachborncoLtd
 
Mashine za kukoboa na Kusaga nione 0762612213 nitakusaidia upatikanaji wake ni kutoka sido ni Mashine imara kuendana na nchi yetu karibuni sido dsm
 
Malighafi ya bidhaa unayo taka kuzalisha ninayo kwa wingi mda ukifika nitafute tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom