Kuhusu mashine za kusaga na kukobolea nafaka..

Kuhusu mashine za kusaga na kukobolea nafaka..

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,458
Reaction score
983
Habari zenu wadau, nilikua nauliza km kuna mtu humu ndani anafahamu upatikanaji wa machine za kusaga na kukobolea nafaka, tafadhali naomba anijuze..

Alafu Kama wewe ni [Mbongo]
Mtanzania na unapenda kilicho cha
nyumbani kwako na ili tuweze
kikuza na kuendeleza
kilicho chetu tafadhali, like facebook page yetu, na follow katika twitter.. kwa kubofya anuani hizi hapa..

http://facebook.com/
BeachbornCompanyLtd

http://twitter.com/
BeachborncoLtd
 
mimi nayo used complete na motor zake,starter ni pm
 
BONGOLALA- ina ukubwa gani? Na unauza kiasi gani?
 
Back
Top Bottom