Kuhusu matokeo kidato cha NNE 2013

Kuhusu matokeo kidato cha NNE 2013

Nokia3D

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
74
Reaction score
1
Matokeo ya kidato cha nne yanatupa presha sana.
Ni kutokana na mabadiliko ya idara ya elimu na mafunzo.kwa wengi wetu tunajua kuanzia tarehe 8 mwaka huu wa 2013 wa pili ndio matokeo yetu kidato cha nne kutangazwa rasmi.

Ninacho taka ni watahiniwa wote tuzidishe imani ili tuweze kupata matokeo mazuri na kupata nafasi za kuendelea kimasomo,kwani kikwazo kikubwa sana cha wanafunzi ni pale matokeo yanapokuwa mabaya.

We're supposed to trust God for everything.
 
Nashkuru,kila myemyekeje kwa amani ya bwana umbariki
 
Umeandika kama wewe ndio necta
Hujui watao faulu watajiunga na A level july? Sasa kwanini matokeo yatoke mapema na make nayo? Naona bora wayatoe May
 
cku izi huo usaishaj ndo unaniboa yan na nimepata taarifa et pepa zijazo za o-level zitafanyika kwa kanda iv ni sawa kwel
 
Umeandika kama wewe ndio necta
Hujui watao faulu watajiunga na A level july? Sasa kwanini matokeo yatoke mapema na make nayo? Naona bora wayatoe May

kote huko mbali sana.tunataka kieleweke mapema
 
cku izi huo usaishaj ndo unaniboa yan na nimepata taarifa et pepa zijazo za o-level zitafanyika kwa kanda iv ni sawa kwel

wizala ya elimu siku hizi inabug.wanatukatil sana sis wanafunzu,ila tumwachie m/mungu
 
Yanatoka kesho kwa mujibu wa msemaji wa necta.
source mimi mwenyewe
 
Matokeo ni taree 8 kesho wait jamii forums tuwekeeni link ya kuangalia matokeo
 
Yeah at any time starting this time.necta resoults can be given out
 
kama ujamwamini mungu wkt unaenda kufanya mtihani,hata ukimwamini sasa haina maana.cha umuhimu ni kumwamini mungu kila sekunde ktk maisha yako.!
 
Tuweni na subra mbona watayatoa tu..hata hivyo leo kitaeleweka
 
Nime penda ulivyo compose heading yako lakini content haiendani kabisa anyway mwanzo mgumu pia karibuni tujifunze....!!!
who ever said a penguin can not fly.........(Madascar Escape to Africa 2)
Matokeo ya kidato cha nne yanatupa presha sana.
Ni kutokana na mabadiliko ya idara ya elimu na mafunzo.kwa wengi wetu tunajua kuanzia tarehe 8 mwaka huu wa 2013 wa pili ndio matokeo yetu kidato cha nne kutangazwa rasmi.

Ninacho taka ni watahiniwa wote tuzidishe imani ili tuweze kupata matokeo mazuri na kupata nafasi za kuendelea kimasomo,kwani kikwazo kikubwa sana cha wanafunzi ni pale matokeo yanapokuwa mabaya.

We're supposed to trust God for everything.
 
Kwa faida ya thread starter Nokia3D na wengine, matokeo yanayotarajiwa kutangazwa ni ya kidato cha nne 2012, si kidato cha nne 2013 sababu wao hawajafanya hiyo CSEE.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom