Kuhusu matokeo ya mtihani

Kuhusu matokeo ya mtihani

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,459
Reaction score
699
Ndugu wadau, kuhusu matokeo ya mtihani, kuna wachangiaji wanadai eti mitandao ya kijamii imechangia kufeli kwa wanafunzi. Kinyani anakataa kabisa maana ni asilimia ndogo tuu yao wanashiriki, kwani huko vijijini wanatumia facebook na twitter? Mbona nao wamefeli? Hii si sababu lkn tunafanya utafiti tutakuja na jibu la uhakika kwa nn wamefeli hivyo baada ya muda mfupi.

Papaa Kinyani :dizzy:
 
si kweli kwamba Twita,FaceBook zimechangia, hiyo imekataliwa na watu wengi, kwa kuwa hata watu wazima au wana Private Candidate nao wako bize na face book, iki ni kisingizio cha uongo uenda hata wakaanda karatasi feki za kumchora Messi na Zombe ,watu hawa wanavizingizio vingi, hata hivyo hapa dar wenye uwezo wa kununua simu zinaitwa smart phone ni wachache kwani inaanzia laki moja mpaka laki tano. Huyu mama anatafuta pa kutokea tu
 
Sababu ya 4 ni serikali kutojali maslahi ya waalimu.
mwaJ hujambo msiri wangu? Haya matokeo yananiumiza kichwa pia na sidhani kama kuna mtz ambaye hajaguswa nayo
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wadau, kuhusu matokeo ya mtihani, kuna wachangiaji wanadai eti mitandao ya kijamii imechangia kufeli kwa wanafunzi. Kinyani anakataa kabisa maana ni asilimia ndogo tuu yao wanashiriki, kwani huko vijijini wanatumia facebook na twitter? Mbona nao wamefeli? Hii si sababu lkn tunafanya utafiti tutakuja na jibu la uhakika kwa nn wamefeli hivyo baada ya muda mfupi.

Papaa Kinyani :dizzy:
Serikali imewaongezea kufeli kwa sababu haina nafasi za kutosha na hela ya kutosha kuwapeleka wengi A-level, hivyo wanataka wanafunzi wakasome private school. Shule za kata za o-level ni nyingi mno, A-level za kata zipo ngapi? wataenda wapi hao wanafunzi?
 
Wataendaje shule za private wakati wana div. zero? Think before!!!
 
mwaJ hujambo msiri wangu? Haya matokeo yananiumiza kichwa pia na sidhani kama kuna mtz ambaye hajaguswa nayo

Mie mzima msiri wangu. Kijana wa ndugu yangu karibia achanganyikiwe na haya matokeo! Kama sio kazi ya ziada ya ushauri nasaha na wanafamilia kuwa karibu nae sijui tungekuwa tuna hadithia nini muda huu!
 
si kweli kwamba Twita,FaceBook zimechangia, hiyo imekataliwa na watu wengi, kwa kuwa hata watu wazima au wana Private Candidate nao wako bize na face book, iki ni kisingizio cha uongo uenda hata wakaanda karatasi feki za kumchora Messi na Zombe ,watu hawa wanavizingizio vingi, hata hivyo hapa dar wenye uwezo wa kununua simu zinaitwa smart phone ni wachache kwani inaanzia laki moja mpaka laki tano. Huyu mama anatafuta pa kutokea tu[/QUOTE
elfu30 unapata nokia inagonga facebook... Au elfu 70 nokia inagonga whatsapp,tweeter,facebook,getjar,nimbuzz etc,,,,THANK GOD SIE TULIOSOMA ENZI ZA S.L.P/+TTCL
 
Back
Top Bottom