Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,459
- 699
Ndugu wadau, kuhusu matokeo ya mtihani, kuna wachangiaji wanadai eti mitandao ya kijamii imechangia kufeli kwa wanafunzi. Kinyani anakataa kabisa maana ni asilimia ndogo tuu yao wanashiriki, kwani huko vijijini wanatumia facebook na twitter? Mbona nao wamefeli? Hii si sababu lkn tunafanya utafiti tutakuja na jibu la uhakika kwa nn wamefeli hivyo baada ya muda mfupi.
Papaa Kinyani :dizzy:
Papaa Kinyani :dizzy: