Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,459
- 699
Serikali imewaongezea kufeli kwa sababu haina nafasi za kutosha na hela ya kutosha kuwapeleka wengi A-level, hivyo wanataka wanafunzi wakasome private school. Shule za kata za o-level ni nyingi mno, A-level za kata zipo ngapi? wataenda wapi hao wanafunzi?Ndugu wadau, kuhusu matokeo ya mtihani, kuna wachangiaji wanadai eti mitandao ya kijamii imechangia kufeli kwa wanafunzi. Kinyani anakataa kabisa maana ni asilimia ndogo tuu yao wanashiriki, kwani huko vijijini wanatumia facebook na twitter? Mbona nao wamefeli? Hii si sababu lkn tunafanya utafiti tutakuja na jibu la uhakika kwa nn wamefeli hivyo baada ya muda mfupi.
Papaa Kinyani :dizzy:
mwaJ hujambo msiri wangu? Haya matokeo yananiumiza kichwa pia na sidhani kama kuna mtz ambaye hajaguswa nayo
si kweli kwamba Twita,FaceBook zimechangia, hiyo imekataliwa na watu wengi, kwa kuwa hata watu wazima au wana Private Candidate nao wako bize na face book, iki ni kisingizio cha uongo uenda hata wakaanda karatasi feki za kumchora Messi na Zombe ,watu hawa wanavizingizio vingi, hata hivyo hapa dar wenye uwezo wa kununua simu zinaitwa smart phone ni wachache kwani inaanzia laki moja mpaka laki tano. Huyu mama anatafuta pa kutokea tu[/QUOTE
elfu30 unapata nokia inagonga facebook... Au elfu 70 nokia inagonga whatsapp,tweeter,facebook,getjar,nimbuzz etc,,,,THANK GOD SIE TULIOSOMA ENZI ZA S.L.P/+TTCL