Jamani mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 hivi karibuni nimekumbwa na tatizo la kutokwa na michubuko sehemu ya juu ya uume hasa mule ambamo nilishonwa baada ya kutahiliwa .
Hata nikivaa kondom bado hiyo hali inatokea, mwenye utaalam na hili tatizo anisaidie wadau.
Jaman mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 hv karibuni nimekumbwa na tatizo la kutokwa na miichubuko sehemu ya juu ya uume hasa mule ambanmo nilishonwa baada ya kutahiliwa hata nikivaa kondom bdo hyo hali inatokea mwenyd utaalam na hili tatyo anisaidie wadau.na nimetahiliwa miaka 14 ilopita.
Nenda hospital mwambie Dr akufanyie tena upya,kwani si wewetu mwenye tatzo hilo,wengi wenye tatzo kama hayo huwa wanafanyiwa tena,ungekuwa karibu yangu ningekusaidia.