Kuhusu Mh Halima Mdee

Status
Not open for further replies.

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Kuna tetesi za chinichini hapa mjini kumhusu Bibie Mh Halima Mdee kwamba yu mjamzito..........

sina kinyongo na Mh na ikiwa ni kweli napenda kumtakia kila la heri, nakumbuka katika mahojiano fulani aliwahi kusema kwamba hahitaji mume bali mtoto, so huenda Mh ametimiza azma yake hiyo ikiwa tetesi hizi ni za kweli

Welcome to the world baby, changamoto ni kwamba ikiwa ni kweli itabidi wananchi wa Kawe wakose mbunge kipindi cha malezi...........................
 
mh wamkose kwa nn? ni mwanamama ni hak yake ya msing?nan baba?
 
Nani alikuambia kuna yeyote anaekosa chochote wakati wa malezi? Mwanamke anaweza kuwa a busy carreer woman na akatimiza yote. Anafanya kazi na anafanya exclusive breast feeding vile vile!
 
Baba sio mbunge .....aisee big up mzee umetafuna kiukweli

Ukijamba kwa hasira...utajinyea
 
Cha ajabu ni nini?mbona maraisi na mawaziri wanawake wanazaa na shughuli za nchi zinaenda kama kawaida seuse mbunge anaewakilisha jimbo?
 
Nani alikuambia kuna yeyote anaekosa chochote wakati wa malezi? Mwanamke anaweza kuwa a busy carreer woman na akatimiza yote. Anafanya kazi na anafanya exclusive breast feeding vile vile!

aghalabu ndivyo theological argument wanavyodai
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…