Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Kuna tetesi za chinichini hapa mjini kumhusu Bibie Mh Halima Mdee kwamba yu mjamzito..........
sina kinyongo na Mh na ikiwa ni kweli napenda kumtakia kila la heri, nakumbuka katika mahojiano fulani aliwahi kusema kwamba hahitaji mume bali mtoto, so huenda Mh ametimiza azma yake hiyo ikiwa tetesi hizi ni za kweli
Welcome to the world baby, changamoto ni kwamba ikiwa ni kweli itabidi wananchi wa Kawe wakose mbunge kipindi cha malezi...........................