Kuhusu michango ya Tonetone naomba CHADEMA wanijibu maswali yafuatayo

malemba

Senior Member
Joined
Dec 6, 2022
Posts
183
Reaction score
184
Chadema wanajitutumua kwamba chama Chao ni chama pendwa kwa kuangalia idada ya michango wapo sahihi? Kama hilo ndio tumaini lao naomba wanijibu maswali yafuatayo.

1. Je inashindikana vipi watu kufanya hivyo kama njia ya kutakatisha fedha kutoka nje? Rejea malalamiko ya Lisu mwaka 2024 kwamba ndani ya chama kuna fedha chafu ambazo hazijulikani zimetoka wapi.

2.Je inashindwaje kwa hawa Ford foundation kuidhamini huo mchakato? Maana fold foundation wanatuhumiwa kuwafadhili wanaharakati wa hapa Tanzania kukaa hapo Kenya.

3. Ili Heche ajisafIshe inashindwa vipi akatoa pesa pole pole ili watu wamuamini tena kutokana na Kashfa inayomkabili?
 
Hata kama Heche kazipiga kweli mbona Mwamba alipozipiga hatukusikia hizi kelele zote?

CDM ishapata hadi hati za ukaguzi zenye mashaka kutoka kwa CAG na hatukuwasikia hawa watu!

Sasa hivi ndiyo wana uchungu sana na pesa za chama?

Huu ni mradi tu unasukwa na muda si mrefu lengo lake litakuwa wazi C& P.
 
Gentleman,
mi nadhani unawachanganya zaidi tu kuulizia mambo ya pesa 🤣
 
Watu wa ccm, akili huwa zimeoza,
Pesa, ya, tone tone, inayotumwa kwenye mitandao,tcra wanaona,
Pili, hivi hizi, akil, za, matope mmezitoa wapi? Unamtuhumu mtu kuwa ni mwizi, harafu unataka yeye ndio atoe ushahidi kuwa ni mwizi!
Wewe unayetoa tuhuma, kwanini usionyeshe huo, ushahidi?
Polisi ya, ccm, mahakama za, ccm, sasa kafungueni kesi mahakamani!
Mara hii, tunawabana, mpaka, mtupe malinda tutindue
 
Nani amesema hamuamini Heche au nyie wajinga wa ccm ndio mnataka mumuamini Heche? Heche haihitaji kuaminiwa na wajinga kama nyie kutoka ccm na hatuhitaji kuaminiwa na wanaccm, chadema inaaminiwa na wananchi.
 
Yani hao awamu hii lazima wapigwe miti mpaka akili ziwarudi na Heche atadunda mpaka matekaji,mafisadi na majizi ya ccm yanyooke.
 
Kalime matikiti maji.
 
sioni mantiki ya maswali yako, ni upumbavu kama upumbavu mwingine wa CCM, mbona CCM mmepokea Billions kutoka nje (as CCM) not serikali ya CCM, na hamjawahi kuzisemea mahali?
 
Maswalinna hoja za kindezi ajabu
Lissu alikuwa anasemea fedha chafu toka kwa Samuya kum support Mbowe kwenye uchaguzi kitu ambacho sasa hakipo
Ford Foundation husaidia harakati za uwazi na demokrasia sio Tz pekee.
Chadema itatakatishaje fedha toka nje na Financial Intelligence Unit isijue na fedha ziingie kwenye mzunguko na kukaguliwa ns CAG kisha kupata hati safi? Hoja ya kijinga mno.
Hakuna kashfa ya kweli inayomkabili Heche ila baada ya mbinu ya kutumia polisi msajili. Chauma na mahakama kushindws sasa system imekuja na mbinu hii ya kishenzi kupambana sio tu na Heche bali kukipasua Chadema kama ilivyofanya kwa CUF na NCCR.
 
NI SISIna Tone Tone majibu utayapata baada ya tone tone!
 
Kama CCM ina wanachama zaidi ya milioni kumi kwanini hawataki tume huru ya uchaguzi?
 


1. Swala la kutakatisha fedha uwa ni kwa chedema tu? Mbona ccm ilichangiwa ? How do you call that?

2. Ni vibaya Ford kudhamini?

3. Kama ela ziliwekwa kwenye account yake means ni zake, hao waliotuma ela kwa Heche walikuwa hawajui kama kuna account za chama?
 
Mbwa mwingine wa kum ignore huyu hapa
 
Hii Chadema ndiyo inafanya muishi mjini maana hata mkiandika ujinga ilimradi ni kuibagaza Chadema mnalipwa hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…