Chadema wanajitutumua kwamba chama Chao ni chama pendwa kwa kuangalia idada ya michango wapo sahihi? Kama hilo ndio tumaini lao naomba wanijibu maswali yafuatayo.
1. Je inashindikana vipi watu kufanya hivyo kama njia ya kutakatisha fedha kutoka nje? Rejea malalamiko ya Lisu mwaka 2024 kwamba ndani ya chama kuna fedha chafu ambazo hazijulikani zimetoka wapi.
2.Je inashindwaje kwa hawa Ford foundation kuidhamini huo mchakato? Maana fold foundation wanatuhumiwa kuwafadhili wanaharakati wa hapa Tanzania kukaa hapo Kenya.
3. Ili Heche ajisafIshe inashindwa vipi akatoa pesa pole pole ili watu wamuamini tena kutokana na Kashfa inayomkabili?