MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 5,995
- 8,799
Nawewe ulipwe buku 7 kwa post hii hela zetu mnazila kibwege Sana manyang'au nyinyi.Chadema wanajitutumua kwamba chama Chao ni chama pendwa kwa kuangalia idada ya michango wapo sahihi? Kama hilo ndio tumaini lao naomba wanijibu maswali yafuatayo.
1. Je inashindikana vipi watu kufanya hivyo kama njia ya kutakatisha fedha kutoka nje? Rejea malalamiko ya Lisu mwaka 2024 kwamba ndani ya chama kuna fedha chafu ambazo hazijulikani zimetoka wapi.
2.Je inashindwaje kwa hawa Ford foundation kuidhamini huo mchakato? Maana fold foundation wanatuhumiwa kuwafadhili wanaharakati wa hapa Tanzania kukaa hapo Kenya.
3. Ili Heche ajisafIshe inashindwa vipi akatoa pesa pole pole ili watu wamuamini tena kutokana na Kashfa inayomkabili?
Hazijulikani??Rejea malalamiko ya Lisu mwaka 2024 kwamba ndani ya chama kuna fedha chafu ambazo hazijulikani zimetoka wapi.
MHata kama Heche kazipiga kweli mbona Mwamba alipozipiga hatukusikia hizi kelele zote?
CDM ishapata hadi hati za ukaguzi zenye mashaka kutoka kwa CAG na hatukuwasikia hawa watu!
Sasa hivi ndiyo wana uchungu sana na pesa za chama?
Huu ni mradi tu unasukwa na muda si mrefu lengo lake litakuwa wazi C& P.
Maswali ya kipumbavu peleka LumumbaChadema wanajitutumua kwamba chama Chao ni chama pendwa kwa kuangalia idada ya michango wapo sahihi? Kama hilo ndio tumaini lao naomba wanijibu maswali yafuatayo.
1. Je inashindikana vipi watu kufanya hivyo kama njia ya kutakatisha fedha kutoka nje? Rejea malalamiko ya Lisu mwaka 2024 kwamba ndani ya chama kuna fedha chafu ambazo hazijulikani zimetoka wapi.
2.Je inashindwaje kwa hawa Ford foundation kuidhamini huo mchakato? Maana fold foundation wanatuhumiwa kuwafadhili wanaharakati wa hapa Tanzania kukaa hapo Kenya.
3. Ili Heche ajisafIshe inashindwa vipi akatoa pesa pole pole ili watu wamuamini tena kutokana na Kashfa inayomkabili?
mapandikizi yaliyopo CDM na ukiona mtu wa chadema anatumika kuichafua chadema hadharani na kwenye mitandao ya kijamii,ujue huyo ameshafika bei na ni pandikizi,kama wale waliohamia upande wa pilli.Kwani hiyo issues umeshamsikia ccm akimlaumu heche.hizo kashfa zinatolewa na chadema wenyewe
M
Ford foundationChadema wanajitutumua kwamba chama Chao ni chama pendwa kwa kuangalia idada ya michango wapo sahihi? Kama hilo ndio tumaini lao naomba wanijibu maswali yafuatayo.