vanvedy Member Joined Sep 15, 2014 Posts 20 Reaction score 1 Mar 16, 2015 #1 Hiv Jamani Wakubwa Inakuaje Kuhusu Fununu Za Ku-apply Mikopo Kwa Mwaka 2015?
casbias Senior Member Joined Oct 30, 2014 Posts 199 Reaction score 25 Mar 16, 2015 #2 Hilo nalo neno la umuhimu kweri kweri.
Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,585 Reaction score 1,771 Mar 16, 2015 #3 duh hata mitihani hamjaanza mshawaza ku apply mikopo...
L lukubuzo Samsis JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 2,920 Reaction score 3,388 Mar 16, 2015 #4 casbias said: Hilo nalo neno la umuhimu kweri kweri. Click to expand... kwa uandishi huu na wewe unaomba mkopo shame on you
casbias said: Hilo nalo neno la umuhimu kweri kweri. Click to expand... kwa uandishi huu na wewe unaomba mkopo shame on you
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Mar 16, 2015 #5 lukubuzo Samsis said: kwa uandishi huu na wewe unaomba mkopo shame on you Click to expand... ha ha ha form six hiyo daadeki
lukubuzo Samsis said: kwa uandishi huu na wewe unaomba mkopo shame on you Click to expand... ha ha ha form six hiyo daadeki
M mamanzara JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 651 Reaction score 196 Mar 17, 2015 #6 Mwenye kujua tafadhali atujuze.
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,170 Reaction score 7,665 Mar 19, 2015 #8 Tembelea website yao ndo inatoa majibu haya