Kuhusu mikopo ya Tanzania, Hayati Magufuli na Ndugai walikuwa mbele ya muda

Kuhusu mikopo ya Tanzania, Hayati Magufuli na Ndugai walikuwa mbele ya muda

Mh.Samia alikuwa anawasikiliza washauri kuanzia wa ofisi yake Hadi kwenye wizara zilizo husika kwenye mikopo.
Nia yake ya kusikiliza ushauri ni nzuri, Nia njema ambayo ni utawala bora. Angekataa angesemwa hasikilizi ushauri.
Jambo ambalo hakulijua au alilijua Ila hakulipa uzito unao stahili hao washauri wengi wana kuwa na agenda zao nyuma ya pazia.
Ni wabinafsi na hapo kwenye mikopo ndiyo sehemu yao ya kupiga pesa za umma.
Shida kubwa zaidi yeye mwenyewe siyo mfuatiliaji mzuri wa mambo au matumizi ya pesa walizo idhinisha kwenye mambo fulani.
Ukifuatilia kelele za udikteta dhidi yako zinakuwa nyingi mno. Ndicho kilichomkuta JPM.
 
Magufuli ndio katufikisha hapa, alianzisha miradi mingi kwa mkupuo iliyohitaji fedha za mikopo mingine ya riba kubwa, hayo mamiradi ya Bwawa, SGR, ndege nyingi, kuhamia Dodoma, fly over, sijui njia nane
 
Unamaanisha pesa tunazokopa Leo zinakwenda kumalizia miradi iliyoanzishwa na magufur?
 
Magufuli na samia hawana tofauti. Hao ni nyapara walioanzisha ukopaji holela. Magu alikopa trilioni 26 kwa miaka mitano na samia kakopa Trilioni 50 kwa miaka minne
 
Back
Top Bottom