Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Jan 1, 2016 #1 Heshima kwenu.. Wadau ningependa kujua je kuna uwezekano wa mswaki kubaki na vimelea vya ugonjwa baada ya mgonjwa kupona? Namaanisha kwamba mgonjwa anaweza kupata vimelea vya ugonjwa vilivyobaki kwenye mswaki anaoutumia baada ya mgonjwa kupona..
Heshima kwenu.. Wadau ningependa kujua je kuna uwezekano wa mswaki kubaki na vimelea vya ugonjwa baada ya mgonjwa kupona? Namaanisha kwamba mgonjwa anaweza kupata vimelea vya ugonjwa vilivyobaki kwenye mswaki anaoutumia baada ya mgonjwa kupona..