Kuhusu mtoto haramu

Status
Not open for further replies.
Maalim kahtaan umemaliza kila kitu,sidhani kama wagalatia watatia pua zao.
Huyu mtoto wa zinaa wana matatizo ya kichwa.
Andiko lake limetaja WATOTO WA HARAMU sehemu chungu mzima halafu anakuja pakazia Waislamu.

Tena sio kutaja tu bali BIBLIA IMEWALAANI VIKALI WATOTO wadogo wasio na Hatia na kuwapiga marufuku hata Kuingia MAKANISANI.

Wagalatia Mtihani sana.
 
Maneno meeeengi, Uislamu unamdhalilisha sana mtoto wa nje ya ndoa, Mtoto wa Zinaa/Haramu.
 
 
Mbona unatokwa na povu jingi? Haya maneno kila kukicha mnayatunia mitaani.
Hata wewe unatabia ya kutumia haya maneno (Mtoto wa Zinaa) kumaanisha kuwa ni mtu asiyefaa.

Umeona kuwa Biblia ndiyo yenye maneno hayo au haujaona tukupestie tena?
 
Hacheni kuwadhalilisha watoto wakati mabinti zenu kila kukicha wanazaa nje.
Umeona kuwa Biblia ndiyo yenye maneno hayo au haujaona tukupestie tena?
 
Post No. 8 ya kahtaan imejibu na imetoa elimu kwa wale msiofahamu...Msiendelee kutoka na mapovu sasa, Kwasababu mleta uzi kataka elimu na amepewa na ufafanuzi zaidi hasa kwenye ASILI YA HILO jina alilokuwa akitumia kumwita mtoto anayepatikana nje na utaratibu wa Mungu.(ZINAA)
 
Maneno meeeengi, Uislamu unamdhalilisha sana mtoto wa nje ya ndoa, Mtoto wa Zinaa/Haramu.
Leta ANDIKO linalosema hayo ktk Uislamu.

Mimi nakuongeza ANDIKO kutoka krk BIBLIA linalo LAANI WATOTO WADOGO wasio na Hatia na kuwabagua, kisa mama magdalena kacheza faulo na Mchungaji kwenye misa za Jioni.

Je!una habari WANA WA HARAMU pia walishawahi kutawala Ktk ANDIKO LAKO?


ZEKARIA 9:6

Na mwana wa haramu atatawala huko Ashdodi,

Imani yako IMETAJA WANA HARAMU WASIO NA IDADI kwenye BIBLIA.

sasa na wewe leta ANDIKO ktk Quraan Waislamu Wapi wameita MTOTO YYT kuwa ni wa HARAMU!!

UISLAMU sio Imani za kumbumba Kijana.
Ni DINI ILIOKAMILIKA isio na Udhalilishaji wala KASHFA ndani yake.

Hebu Ongezea na HII hapa Uone imani yako inasema nini pia kuhusu kina mama.

1 Wakorintho 6:16

"JE! Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja. "


Yaani BIBLIA inawata kina mama wote ni MAKAHABA!

Na mlaaniwe wote mnaodhalilisha Kina Mama na watoto wao.
 
Maalim,mimi huwa najiuliza kwani kuwa mgalatia sharti uwe mnafiki na muongo?.

Wamekazana kuukosoa uislamu bila kuujua wakiacha kukemea na kukosoa mambo ya ovyo na udhalilishaji mwingi uliojaa ndani ya biblia yao.

Kwa mfano kumwita mtoto wa nje ya ndoa "mtoto wa haramu" na hata kumzuia kuingia kanisani kwa kosa la wazazi wake hali ya kuwa yeye hausiki hata kwa 1% si udhalilishaji na uonevu huu?.
 
Jamani ndugu zangu wakristo na waislamu mbona mnatokwa na mapovu kwa mambo madogo kama haya? By the way, technically tukielezea neno mtoto wa haramu- hapa neno haramu limekaa ktk nafasi ya kumnasabaisha mtoto na tendo la uzinifu, ambalo kimsingi ni tendo haramu. Hivyo nadhani ni suala la kuelewa zaidi na kuwa na tafakuri pana.
 
Hii Waebrania 12:1-2 unaisoma katika mukhutaza hupi, hakuna sehemu yoyote andiko linawataja watoto wa nje ya ndoa.
Pia andiko alimaanishi watoto kimwili,bali ni watoto kiroho.
 
Mtani usiingizwe chaka na wanaharamu Bible iko sahihi kabisa tatizo ni wapuuzi wachache wanaosoma mstari mmoja na kuubeba kama ulivyo
Mnaanza kuitana watani!
Teh teh teh.

BIBLIA Imetamka WANA WA HARAMU km Mvua humo. Acheni kudhalilisha watoto wasio na hatia nyie wagalatia.
Hii haifa.

Halafu cha ajabu makatonta wengi ni watoto wa nje ya Ndoa sasa hamuoni kuwa mnajidhalilisha Wenyewe?
 
Hacha porojo hakuna mtoto wa nje ya ndoa anayezuhiwa kuingia Kanisani.
 
Kabla ya kuhoji uhusika wa ALLAH,kwenye suala la mtoto wa haramu unatakiwa utoe aya au hadithi inayowataka waislamu wawaite watoto wa nje ya ndoa watoto wa haramu.

Unalizungumziaje andiko la 23:2 kumbukumbu la torati?
Mlango 23

1 Aliyejeruhika konde, au aliyekatika tupu yake, asiingie mtu huyo katika mkutano wa BWANA.
2 Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa BWANA; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa BWANA.

Lakini mkuu agano la kale si lipo na kwenye quran pia?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…