Kuhusu mtoto haramu

Status
Not open for further replies.
 
Uislamu unafundisha mengi, mengine ni hayo.
Uislamu unafundisha mengi.
 
Attachments

  • P_20160128_004915.jpg
    177.1 KB · Views: 56
  • P_20160128_004729_1.jpg
    141.1 KB · Views: 73
Inashangaza, mtoto ni haramu lakini wazazi siyo haramu.
Uislamu unakataza zinaa, zinaa ndio haramu.

mtoto wa zinaa hana makosa (wazazi ndio wenye makosa).

Uislamu hamlamu mtoto (wazazi ndio wenye kulaumiwa)

Huyu mtoa mada ni muongo, kama sio muongo, atuonyeshe wapi uislamu umemuita mtoto wa zinaa kuwa ni Mtoto wa haramu?

Alete ushahidi wa aya (kama yeye sio muongo)
 
Hakuna tendo la haramu wala mtoto wa haramu. Ni imani zenu tu ndizo zinazowahadaa na kudhani kuwa kugongana nje ya ndoa in haramu[emoji57]
 
Uislamu unafundisha mengi, mengine ni hayo.

Uislamu unafundisha mengi.
Unatuletea UTUMBO gani hapa We muke wa mwalabu?

Teh teh teh teh.
Dah...

Acheni kudhalilisha Watoto nyie makafiri.
 
Uislamu unafundisha mengi, mengine ni hayo.

Uislamu unafundisha mengi.

Wee kafiri mwehu, hicho kitabu sisi Waislamu hatukitambui, wewe unamwabudu mtu badala ya kumwabudu Mungu (kafiri mmoja wee).
 
Wee kafiri mwehu, hicho kitabu sisi Waislamu hatukitambui, wewe unamwabudu mtu badala ya kumwabudu Mungu (kafiri mmoja wee).
Kafiri maji yako puani kaamua kuleta Uharo sijui kautoa wapi.

Ati UISLAMU huo!

Teh teh teh teh.
 
Unatuletea UTUMBO gani hapa We muke wa mwalabu?

Teh teh teh teh.
Dah...

Acheni kudhalilisha Watoto nyie makafiri.
Teeh teeh, baada ya ngonjera na kwaya zake za "mtoto haramu" kugonga ukuta na hatimaye kumrudia mwenyewe,ameona ni vema akaja na porojo mpya ndani ya uzi uleule uliokwisha mshinda.

Huwa najiuliza kwani kuwa kafiri sharti uwe punguani kama sio majinuni?.
 
Thank bro Kahtaan for the useful post.
 
Wacha porojo, ni post mamia umeleta hapa Jf ukifananisha matendo ya Wakristo na Ukristo.
 
Hakuna anaebakwa kwa hiari. Hivi nyie makafiri kwanini kiswahili pia kinawapa Shida namna hii?
Au kwa sababu kina asili ya Kiislamu?

Kambafffff.
 
Wacha porojo, ni post mamia umeleta hapa Jf ukifananisha matendo ya Wakristo na Ukristo.
Picha Na Ushahidi mapoma na MAANDIKO YA BIBLIA Unaita Porojo?

We kweli kafiri umevuka mipaka.
Yaani MPK ANDIKO unaliita la KIPUUZI?

We Dawa yako ni Zile misa za jioni wakakutoe pepo kupitia njia ya majitaka. Manake hakuna namna.
 
Wewe kumbe haujui kwamba, manabii watukufu kwenye Biblia wameowa wake wengi?
 
Mmh
 
Picha Na Ushahidi mapoma na MAANDIKO YA BIBLIA Unaita Porojo?

We kweli kafiri umevuka mipaka.
Yaani MPK ANDIKO unaliita la KIPUUZI?

We Dawa yako ni Zile misa za jioni wakakutoe pepo kupitia njia ya majitaka. Manake hakuna namna.
Nawe siku hizi unafanya maombezi?
 
Attachments

  • FB_IMG_1452139166545.jpg
    26.9 KB · Views: 56
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…