Kuhusu mtoto haramu

Kuhusu mtoto haramu

Status
Not open for further replies.
Leo ningeomba kupewawa ufafanuzi kuhusu mtoto haramu.

Katika dini ya Uislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa huwa anaitwa mtoto haramu.

Kwa hoja hii huwa napata maswali kadhaa, yakiwemo haya.
1. Je, hawa watoto haramu huwa wanaumbwa na Mungu (Allah).
2. Je, mtoto alizaliwa nje ya ndoa (haramu), ambaye mamaye na babaye ni waislamu japo ni nje ya ndoa, huyu mtoto haramu akuwa ni mwislamu au siyo Mwislamu?

Karibu mnaojua hii kitu mnipe ufafanuzi.[/QUOTE

Kyenji;
Kwanza nikusahihishe kidogo. Hakuna dini ya Uislamu. Kuna dini ya Kiislam. Pili; Watoto wa jinsi hiyo huitwa watoto wa Zinaa sio wa haram. Wakikua, wakasilimu, huwa waislam pia. Hata weye, ukisilimu unakuwa Muislam swafiii.
 
Madrasa Elimu ghali we kafiri.
Elimu Inayopatikana kwa Shida na Mazingira Magumu lkn faida yake AJEEB!

Madrasa imenifunza Kuheshimu Kina mama na watoto wao.

Madrasa imenifunza kuheshimu haki za jirani yangu hata kama ni KAFIRI.

Madrasa imenifunza mpk.Namna ya KUOGA na kupiga Mswaki.

Wewe mpk leo UNACHAMBIA Makararasi kisa Unaiga wazungu.
Mkubwa mzima unatembea na Kinyesi makalioni Kisa ujihisi kama Mzungu?

Km nyie msingekuwa watu wa Kuiga Waislamu Na Mkaamua Kufuata BIBLIA PEKE YAKE basi Hata mswaki msingeujua leo.
Kwanza mnanuka midomo Ajabu.
Viti moto nuksi Nyie!!

Bloody cucumber!
Uislamu unafundisha mengi, mengine ni hayo.

Uislamu unafundisha mengi.
 
Attachments

  • P_20160128_004915.jpg
    P_20160128_004915.jpg
    177.1 KB · Views: 56
  • P_20160128_004729_1.jpg
    P_20160128_004729_1.jpg
    141.1 KB · Views: 73
Inashangaza, mtoto ni haramu lakini wazazi siyo haramu.
Uislamu unakataza zinaa, zinaa ndio haramu.

mtoto wa zinaa hana makosa (wazazi ndio wenye makosa).

Uislamu hamlamu mtoto (wazazi ndio wenye kulaumiwa)

Huyu mtoa mada ni muongo, kama sio muongo, atuonyeshe wapi uislamu umemuita mtoto wa zinaa kuwa ni Mtoto wa haramu?

Alete ushahidi wa aya (kama yeye sio muongo)
 
Leo ningeomba kupewawa ufafanuzi kuhusu mtoto haramu.

Katika dini ya Uislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa huwa anaitwa mtoto haramu.

Kwa hoja hii huwa napata maswali kadhaa, yakiwemo haya.
1. Je, hawa watoto haramu huwa wanaumbwa na Mungu (Allah).
2. Je, mtoto alizaliwa nje ya ndoa (haramu), ambaye mamaye na babaye ni waislamu japo ni nje ya ndoa, huyu mtoto haramu akuwa ni mwislamu au siyo Mwislamu?

Karibu mnaojua hii kitu mnipe ufafanuzi.
Hakuna tendo la haramu wala mtoto wa haramu. Ni imani zenu tu ndizo zinazowahadaa na kudhani kuwa kugongana nje ya ndoa in haramu[emoji57]
 
Uislamu unafundisha mengi, mengine ni hayo.

Uislamu unafundisha mengi.
Unatuletea UTUMBO gani hapa We muke wa mwalabu?

Teh teh teh teh.
Dah...

Acheni kudhalilisha Watoto nyie makafiri.
 
Uislamu unafundisha mengi, mengine ni hayo.

Uislamu unafundisha mengi.

Wee kafiri mwehu, hicho kitabu sisi Waislamu hatukitambui, wewe unamwabudu mtu badala ya kumwabudu Mungu (kafiri mmoja wee).
 
Wee kafiri mwehu, hicho kitabu sisi Waislamu hatukitambui, wewe unamwabudu mtu badala ya kumwabudu Mungu (kafiri mmoja wee).
Kafiri maji yako puani kaamua kuleta Uharo sijui kautoa wapi.

Ati UISLAMU huo!

Teh teh teh teh.
 
Unatuletea UTUMBO gani hapa We muke wa mwalabu?

Teh teh teh teh.
Dah...

Acheni kudhalilisha Watoto nyie makafiri.
Teeh teeh, baada ya ngonjera na kwaya zake za "mtoto haramu" kugonga ukuta na hatimaye kumrudia mwenyewe,ameona ni vema akaja na porojo mpya ndani ya uzi uleule uliokwisha mshinda.

Huwa najiuliza kwani kuwa kafiri sharti uwe punguani kama sio majinuni?.
 
Ndugu mgalatia tatizo lenu nyie macho yenu ni km kunguru. Mnaona upande mmoja tu.

Huyu Katonta aliyeanzisha Uzi kauliza Swali la Kawaida au LINALOHUSU DINI?

Sasa mimi nisipomjibu KIDINI ulitaka nimjibu kwa nyimbo za KWAYA?

Yeye kaja hapa KUKASHIFU UISLAMU kwa Kusingizia kuwa UISLAMU umeita watoto wa nje ya Ndoa "Wanaharamu". Na bahati mbaya hakujua kuwa KAULI HIO IMETOLEWA NA BIBILIA na sio QURAAN ya waislamu.

Sasa hapa ninachofanya ni KUONYESHA UKWELI TU na si jingine. Na wewe kuandika kuwa mimi ni MDINI kwa hilo nashkuru sana.
Mimi NDANI YA DAMU YANGU Kumejaa Dini yangu. Na Niko tayari kueleza UKWELI japo Makafiri watachukia.

Upo hapo !

Thank bro Kahtaan for the useful post.
 
Kauli kama hizi mbona sio ngeni hapa!?
Killa mmoja wenu adai anampenda Yesu kuliko mwingine.
Nakuuliza hivi, ukidai unampenda mtu fulani Si Lazima umfuate kila anachoamrisha na kufanya?

Vipi udai kumpenda Yesu hali ya kuwa Hufuati aliyofanya na kufundisha?

Halafu Toka lini Dira ya kutazama IMANI fulani Itokane na matendo ya Waumini wake?

Yaani mimi nikitaka Kuufahamu UKRISTO nikaamua kutazama wale WACHUNGAJI wanaofunga NDOA ZA JINSIA MOJA nitakuwa Nimefanya Haki hapo?
Wacha porojo, ni post mamia umeleta hapa Jf ukifananisha matendo ya Wakristo na Ukristo.
 
Amembaka ? Kama kwa hiyari yake unataka mimi nifanyeje ?! Nikashuhudie tendo au ?! Acha ungese kijana.. Nyie ndio mnaotukanagwa na dada zenu kwa kuwafatilia mambo yao.. If she is matured enough to have her own judgements about her own body, why bother ?!
Hakuna anaebakwa kwa hiari. Hivi nyie makafiri kwanini kiswahili pia kinawapa Shida namna hii?
Au kwa sababu kina asili ya Kiislamu?

Kambafffff.
 
Wacha porojo, ni post mamia umeleta hapa Jf ukifananisha matendo ya Wakristo na Ukristo.
Picha Na Ushahidi mapoma na MAANDIKO YA BIBLIA Unaita Porojo?

We kweli kafiri umevuka mipaka.
Yaani MPK ANDIKO unaliita la KIPUUZI?

We Dawa yako ni Zile misa za jioni wakakutoe pepo kupitia njia ya majitaka. Manake hakuna namna.
 
Kwenye uislamu haliwez kuwepo neno mtoto haramu kwa vile uhakika na uhalali wa watoto kwa ndoa ya wake 4 ni mdogo sn, la sivyo wote wangeitwa watoto haramu,, maana kusaidiwa ni nje nje kwa ndoa ya wake 2_4.

Kwa kifupi maandiko ya Quran yangetamka mtoto haramu kwenye ndoa za kiislamu 77.99% ya watoto wanaozaliwa kwenye ndoa za kiislam zenye kuhusisha wake 2_4 zinahusu watoto haramu maana mnachapiwa sn mtaani na bora mlivyo jifariji kwa usemi wenu wa kitanda hakizai haramu,,
Wewe kumbe haujui kwamba, manabii watukufu kwenye Biblia wameowa wake wengi?
 
Wewe ni MKRISTO Wa wapi unaechagua Maandiko km Nyaya Sokoni?

Huwezi KUJIITA MKRISTO kisha UKACHAGUA baadhi ya MAANDIKO na Baadhi UYAPUUZE na KUYAPINGA.

Gwajima Akikuona Atakwambia Una pepo chafu halafu Kulitoa hilo pepo Ni Laki na nusu tu.

Shauri yako.
Mmh
 
Picha Na Ushahidi mapoma na MAANDIKO YA BIBLIA Unaita Porojo?

We kweli kafiri umevuka mipaka.
Yaani MPK ANDIKO unaliita la KIPUUZI?

We Dawa yako ni Zile misa za jioni wakakutoe pepo kupitia njia ya majitaka. Manake hakuna namna.
Nawe siku hizi unafanya maombezi?
 
Attachments

  • FB_IMG_1452139166545.jpg
    FB_IMG_1452139166545.jpg
    26.9 KB · Views: 56
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom