Issa SLuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 2,303
- 1,803
Wapi UISLAMU umemuita mtoto wa ZINAA kuwa ni Mtoto wa HARAMU?
Wagalatia km kawaida yenu mnaropoka bila kufikiri.
Na unapouliza Swali jaribu kushirikisha Kichwa japo siku moja.
Toka lini chanzo cha Kuzaliwa kwa mtoto kikahusishwa na Imani yake?
Kwaya na ulaji wa kiti moto vinawadhuru nyie.
Kitabu kilichotaja MTOTO WA HARAMU ni BIBLIA ambacho Kimepiga Marufuku Watoto hawa HATA Kuingia KANISANI (makutano ya Bwana) yeye na KIZAZI CHAKE CHA 10!!
Kumbukumbu la TORATI 23:1-2
1Aliyejeruhika konde, au aliyekatika tupu yake, asiingie mtu huyo katika mkutano wa Bwana.
2 MWANA WA HARAMU asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana.
NA ktK UISLAMU kauli ya KUDHALILISHA Watoto wa nje ya ndoa Na KUWABAGUWA namna Hii HAKUNA hatta sehemu Moja.
MNashindwa Kuangalia Uchafu Uliomo Kwenu Mnakuja uliza Maswali ya kipuuzi hapa.
Makatonta watu wa ajabu sana.
Umemjibu vizuri huyo mgaratia,,,,