Kuhusu mtoto haramu

Kuhusu mtoto haramu

Status
Not open for further replies.
Madrasa Elimu ghali we kafiri.
Elimu Inayopatikana kwa Shida na Mazingira Magumu lkn faida yake AJEEB!

Madrasa imenifunza Kuheshimu Kina mama na watoto wao.

Madrasa imenifunza kuheshimu haki za jirani yangu hata kama ni KAFIRI.

Madrasa imenifunza mpk.Namna ya KUOGA na kupiga Mswaki.

Wewe mpk leo UNACHAMBIA Makararasi kisa Unaiga wazungu.
Mkubwa mzima unatembea na Kinyesi makalioni Kisa ujihisi kama Mzungu?

Km nyie msingekuwa watu wa Kuiga Waislamu Na Mkaamua Kufuata BIBLIA PEKE YAKE basi Hata mswaki msingeujua leo.
Kwanza mnanuka midomo Ajabu.
Viti moto nuksi Nyie!!

Bloody cucumber!
Madrasa simnaenda kutiana vidole ninyi
 
Leo ningeomba kupewawa ufafanuzi kuhusu mtoto haramu.

Katika dini ya Uislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa huwa anaitwa mtoto haramu.

Kwa hoja hii huwa napata maswali kadhaa, yakiwemo haya.
1. Je, hawa watoto haramu huwa wanaumbwa na Mungu (Allah).
2. Je, mtoto alizaliwa nje ya ndoa (haramu), ambaye mamaye na babaye ni waislamu japo ni nje ya ndoa, huyu mtoto haramu akuwa ni mwislamu au siyo Mwislamu?

Karibu mnaojua hii kitu mnipe ufafanuzi.


Uharamu unakuja kutokana na njia iliotumika(nje ya ndoa) sio sahh.Lkn mtoto kama bnadamu hahusishwi na dhambi ile nay anakua ni muislamu kamili,ila hatohusika kweny mirathi endapo baba ake atafariki(hakupatkana kw njia ilio halalishwa). Ila endapo ndug wa marehem wakiamua kumpa mirathi hawana dhambi kwa mingu(allah) japo sio sheria.Na mtt huyo haesabiki kuwa ni wa baba bali anaehesabiwa mwenye mtt ni Mama tu(hivyo baba hana wajib wa kisheria au kidini kumtunza mtoto wa nje ya ndoa,japo atapata dhambi kwa kumleta dunian bila njia sahh).
 
Yaani tumepiga mechi, tumefungana magoli, tumeburudika, halafu tunapata mtoto, mtu anakuja kumwita mwanangu haramu haki ya mungu nalala naye mbele


Mechi hio na magoli hayo haya hesabiki kama ni sahh,ni sawa na kucheza mechi isio tambulikana na FIFA hata mfungane bao 100 inakua ni bonanza.lazma msajiliwe.
 
Wewe ni mnafiki na unastahiki kuitwa kafiri.

wakristo wenzako wanaoneza uongo umeona hawashupalii huu uzi bali kahtaan.

Anza kuwapa ukweli makafiri wenzako kama wewe ndio uje kwa maalim kahtaan.
Wewe ndo unastahili pengine kuitwa haramu pamoja nakafiri maana ninyi wamisri ndo hupenda sana kuyatumia Mara nguruwe haramu Mara pombe haramu sasa mtashindwa nini kuwaita watoto wenu haramu hata kama mliwazaa ninyi? Katika watu wanafiki ninyi mwashika hatamu mwaongoza ninyi wamisri.
 
Tufanye umeshinda we mla nguruwe
Si bora mimi mla nguruwe kuliko ninyi mnaoenda misikitini kutiana vidole na kupakuana, alafu mnajipaka mavi kwenye ndevu kisha mnaita eti ni sunna[emoji35] pumbavu kabisa
 
Teh teh teh.
Kafiri nae kajenga hoja!

Dah...

Wewe lzm utakuwa mtoto wa mzazi mmoja. Manake watoto wenye Kuwatambua Baba zao huwa hawaandiki utumbo mwingi kiasi hiki.

Siku moja kamuulize mama aretasludovick akikutazama usoni anaona nini mbele ya safari?

Jibu atakalokupa Tuletee hapa.
Usije jinyonga tu ukipewa jibu.
Manake Kwa Uchache atasema "hapa mwanangu ninachoona ni Ndoa ya jinsia moja tu" manake watoto wa namna yako Mwisho wao ndio huo.

Mchelemchele.
Mbona wewe ulipatikana kwa njia ya mamaako kubugia shahawa za nguruwe?
 
Leo wamepewa za uso, tena kwa kutumia Bible, kuna mdau mmoja nimemuonyesha facts zilizo wekwa hapa na Sheikh Khataan, kaishia kuhoji ni Agano jipya au la kale? Nikamwambia mimi siangalii Agano, ninachojua ni Biblia, japo hilo jipya lina viashiria vya mambo ya binadamu kurahisisha kama pombe kuita mvinyo ili kwenye shughuli za Harusi na Misiba wanywe, mambo ya ajabu kabisa haya!
 
Mbona wewe ulipatikana kwa njia ya mamaako kubugia shahawa za nguruwe?
Teh teh teh teh.
Nakuongeza Elimu ya Bure hapa manake nyie makafiri kila siku mnaimba ati Vijana wa Madrasa Hatuna Elimu.

Kifupi ni kuwa mwanamke hawezi kupata Ujauzito kwa kubugia shahawa za mnyama wala za binaadamu bali Upatikanaji wa mimba unaweza kuwepo km Mbegu ya mwanamme itakutana na Yai la kike lililo tayari.
Na uwezekeno huu kwa njia ya mdomo na hasa kwa Shahawa za nguruwe HAUPO.
Na Km ungekuwepo nadhani nyie Makatonta Mngejaza Huu ulimwengu ndani ya miaka miwili au mitatu tu.

Kwa maana hii basi ulichoandika hapo Juu ni dalili ya elimu duni mnayopewa huko ktk mahekalu yenu ya kigalatia.

Ndio maana Mkuda km wewe ukiambiwa na Mchungaji "inama nikuombee!" Unaanguka mazima.

Pole sana bi mjubwa.

If i was in your shoes i will find my Biological Father first before its too late.

Ahsanta.
 
Leo wamepewa za uso, tena kwa kutumia Bible, kuna mdau mmoja nimemuonyesha facts zilizo wekwa hapa na Sheikh Khataan, kaishia kuhoji ni Agano jipya au la kale? Nikamwambia mimi siangalii Agano, ninachojua ni Biblia, japo hilo jipya lina viashiria vya mambo ya binadamu kurahisisha kama pombe kuita mvinyo ili kwenye shughuli za Harusi na Misiba wanywe, mambo ya ajabu kabisa haya!
Wagalatia maji yakifika Shingoni Wanaligeukia Andiko lao halafu Baadhi ya Mistari WANAIPIGA EXPIRE DATE km Mikate ya Azam.

Teh teh teh teh.
 
katika uislam hakuna mtoto wa haramu na hatukuambiwa watoto wa nje ya ndoa wanaitwa watoto wa haramu huu ni uzushi..! lugha iliyotumiwa katika mafundisho ya kiislam ni ya staha "mtoto wa kitanda! ..."

hii mtoto wa haramu sijui imeitoa wapi...
 
Kwenye uislamu haliwez kuwepo neno mtoto haramu kwa vile uhakika na uhalali wa watoto kwa ndoa ya wake 4 ni mdogo sn, la sivyo wote wangeitwa watoto haramu,, maana kusaidiwa ni nje nje kwa ndoa ya wake 2_4.

Kwa kifupi maandiko ya Quran yangetamka mtoto haramu kwenye ndoa za kiislamu 77.99% ya watoto wanaozaliwa kwenye ndoa za kiislam zenye kuhusisha wake 2_4 zinahusu watoto haramu maana mnachapiwa sn mtaani na bora mlivyo jifariji kwa usemi wenu wa kitanda hakizai haramu,,
 
Wewe ndo unastahili pengine kuitwa haramu pamoja nakafiri maana ninyi wamisri ndo hupenda sana kuyatumia Mara nguruwe haramu Mara pombe haramu sasa mtashindwa nini kuwaita watoto wenu haramu hata kama mliwazaa ninyi? Katika watu wanafiki ninyi mwashika hatamu mwaongoza ninyi wamisri.
Unazidi kujidhalilisha na kujiweka uchi we dada kafiro usiyejielewa.

Ulimwambia kahtaan anaushupalia huu uzi nikajua baada ya comment ile utaacha kushupaa na kuendelea ku comment achilia mbali kuusoma uzi,cha ajabu mpaka sasa unaendelea kusoma huu uzi na kuni quote kama si unafiki ni nini?.

halafu waislamu hatuiti watoto wa nje ya ndoa haramu bali nyinyi makafiri mkitumia biblia ushahidi soma 23:2 kumb. la torati

kuhusu nguruwe kuwa haramu ni kitabu chenu cha kikafiri(biblia) ndicho kinafundisha hivyo ushahidi: soma hapa 11:7 mambo ya walawi, "Na nguruwe kwa sababu yeye anazo kwato ni mwenye miguu iliyopasuka kati lakini hacheui ni najisi kwenu.8 Msiile nyama yao..
 
Kabla ya kuhoji uhusika wa ALLAH,kwenye suala la mtoto wa haramu unatakiwa utoe aya au hadithi inayowataka waislamu wawaite watoto wa nje ya ndoa watoto wa haramu.

Unalizungumziaje andiko la 23:2 kumbukumbu la torati?
labda kwa kunisaidia ndugu unataka kusema allah hajazungumza lolote kuwahusu hawa watoto,? kama lipo alilozungumza unaweza kuliweka hapa akhsante!.....
 
labda kwa kunisaidia ndugu unataka kusema allah hajazungumza lolote kuwahusu hawa watoto,? kama lipo alilozungumza unaweza kuliweka hapa akhsante!.....
"Kuhusu hawa watoto",watoto gani? ingia moja kwa moja kwenye pointi usika.

Halafu kabla ya kuhoji hao watoto naomba nijue wewe dini gani ili ninapokujibu nitoe ushahidi kwa maandiko/aya kwa dini yako usika.
 
"Kuhusu hawa watoto",watoto gani? ingia moja kwa moja kwenye pointi usika.

Halafu kabla ya kuhoji hao watoto naomba nijue wewe dini gani ili ninapokujibu nitoe ushahidi kwa maandiko/aya kwa dini yako usika.
mimi ni mkristo dhehebu anglikana......unaweza kuendelea tafadhali...
 
Wagalatia maji yakifika Shingoni Wanaligeukia Andiko lao halafu Baadhi ya Mistari WANAIPIGA EXPIRE DATE km Mikate ya Azam.

Teh teh teh teh.
Teeh teeh, hawa jamaa dini yao sijapata kuona yaani mtu anajiamulia achukue kipi na kipi aache kwa faida yake yeye mwenyewe.

Sasa kama agano la kale halitumiki kwa sababu ya uwepo wa agano jipya mbona maandiko ya kuombea sadaka na kutoa fungu la kumi wanatumia maandiko ya agano la kale?

Ngumu sana kuwaelewa hawa watu.
 
hakuna mtoto haramu ,, kwanza kuni dhalilisha mtoto unapomwita haramu.. haramu ni wazazi waliomzaa
a bastard, illegitimate child, mtoto haramu, mtoto wa zinaa
dah majina yote naona mabaya yawe ya kizungu au kiswahili wataalamu wa lugha hakuna jina zuri la kuwaita hawa watoto?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom