Kuhusu mtoto haramu

Kuhusu mtoto haramu

Status
Not open for further replies.
zaeni mkaijaze dunia.maana yake kudunguana si dhambi
Huu wito wako Nadhani huyu baba mchungaji aliuitikia kwa Nguvu zote.

Teh teh teh teh.

0e6d5734d5508b93c7a00093b5519e02.jpg
 
mimi ni mkristo dhehebu anglikana......unaweza kuendelea tafadhali...
longi mapexa, Allah hakuna sehemu katika qura'n amma hadithi ametutaka sisi waislamu tuwaite watoto wa nje ya ndoa watoto haramu(unaruhusiwa kuweka ushahidi wa kupinga hili) bali ninyi wakristo ndani ya biblia ndo mnawaita watoto wa nje ya ndoa haramu pamoja na kuwazuia kufanya ibada kana kwamba kosa ni lao wakati hawahusiki hata kwa 1%.*
ushahidi soma hapa chini kutoka kitabu cha kumbukumbu la torati(23:2)

"MWANA WA HARAMU asingiie katika mkutano wa BWANA,hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa BWANA"

maswali nakuuliza; kwanini mnawaita wana haramu? kwanini mungu wenu anampa adhabu mtoto haramu na kizazi chake cha kumi hali ya kuwa kosa si lake ni la wazazi wake?.

Naomba majibu tafadhali.
 
mimi ni mkristo dhehebu anglikana......unaweza kuendelea tafadhali...
Je umeona ANDIKO la BIBLIA linasema nini Kuhusu WATOTO WA HARAMU?
kwa upande wa WAISLAMU neno "Mtoto wa haramu" HAKUNA.!

Na wala QURAAN haijataja Kashfa Kwa watoto wasio na hatia km BIBLIA.

Kinaachoongelewa Ktk UISLAMU ni Kupiga marufuku ZINAA na Uchafu wa namna hio.

Lkn ktk UISLAMU hakuna kiumbe yyt akaitwa WA HARAMU! isipokuwa ULAJI TU wa Nyama za Baadhi ya wanyama NDIO HARAMU. Kitu ambacho Biblia pia Imekataza lkn WAKRITO WENGI ni VIBURI.

Nadhani umepata faida japo kidogo.
 
Tazama sasa mgalatia unavyoendelea kuropoka ovyo.
Hapo Juu umedai WAISLAMU wanaita watoto wa haramu.
Hapa unadai Unayasikia mitaani!

Make your mind up nincompoop.

Mimi nimekupa ANDIKO LAKO kutoka ktk BIBLIA LINALO LAANI WATOTO Waziwazi na Kuwapiga MARUFUKU kuingia hata KANISANI.

Umekaa kimyaaa! Manake maandiko km haya Huwa hamsomewi.
Mnachosomewa nyie ni ile Mistari ya kutoa Sadaka tu na Kunywa DIVAI ya bwana. Ili mkishalewa Mumnunulie Gwajima Gari la milion 200 wakati nyie mnashindia Mihogo mikavu.

Narudua kwa mara ingine UISLAMU HAUJAWAI kuita MTOTO Yyt kuwa HUYU NI WA HARAMU Lkn UKRISTO UMEWAITA WATOTO WA HARAMU SEHEMU NYINGI MNO KTK BIBLIA.

Ogezea na hili ANDIKO hapa la kudhalilisha WATOTO wasio na Hatia.

WAEBRANIA 12:8.

8.Basi kama mkiwa hamna kurudiwa, ambako ni fungu la wote, ndipo mmekuwa wana wa haramu ninyi, wala si wana wa halali.

Sasa umeona eee!
Imani inayoita WATOTO WA HARAMU sio Uislamu bali ni UKRISTO.

Siku nyingine kabla ya kuanzisha Uzi jipange kidogo.
Sasa tazama Unavyo uharibu UKRISTO Mbele ya kadamnasi.

Yaani wewe ni mdini hadi kwenye mishipa yako ya damu na huoni aibu kuhusu hilo..
Mada imeletwa ila wewe umeshupalia ukristu kana kwamba mada imeletwa katika jukwaa LA dini....BADILIKA!!!!
 
Yaani wewe ni mdini hadi kwenye mishipa yako ya damu na huoni aibu kuhusu hilo..
Mada imeletwa ila wewe umeshupalia ukristu kana kwamba mada imeletwa katika jukwaa LA dini....BADILIKA!!!!
Ndugu mgalatia tatizo lenu nyie macho yenu ni km kunguru. Mnaona upande mmoja tu.

Huyu Katonta aliyeanzisha Uzi kauliza Swali la Kawaida au LINALOHUSU DINI?

Sasa mimi nisipomjibu KIDINI ulitaka nimjibu kwa nyimbo za KWAYA?

Yeye kaja hapa KUKASHIFU UISLAMU kwa Kusingizia kuwa UISLAMU umeita watoto wa nje ya Ndoa "Wanaharamu". Na bahati mbaya hakujua kuwa KAULI HIO IMETOLEWA NA BIBILIA na sio QURAAN ya waislamu.

Sasa hapa ninachofanya ni KUONYESHA UKWELI TU na si jingine. Na wewe kuandika kuwa mimi ni MDINI kwa hilo nashkuru sana.
Mimi NDANI YA DAMU YANGU Kumejaa Dini yangu. Na Niko tayari kueleza UKWELI japo Makafiri watachukia.

Upo hapo !
 
Kwenye uislamu haliwez kuwepo neno mtoto haramu kwa vile uhakika na uhalali wa watoto kwa ndoa ya wake 4 ni mdogo sn, la sivyo wote wangeitwa watoto haramu,, maana kusaidiwa ni nje nje kwa ndoa ya wake 2_4.

Kwa kifupi maandiko ya Quran yangetamka mtoto haramu kwenye ndoa za kiislamu 77.99% ya watoto wanaozaliwa kwenye ndoa za kiislam zenye kuhusisha wake 2_4 zinahusu watoto haramu maana mnachapiwa sn mtaani na bora mlivyo jifariji kwa usemi wenu wa kitanda hakizai haramu,,
Hizi ni Fikra za Kigalatia .
Na wewe sikulaumu manake kesi za Kuzaa ovyo huko zimejaa kupita kiasi.

Si umemuona baba mchungaji hapo juu nini kawafanya Wanakondoo kwa ndoto aliyooteshwa na roho mkakatifu!?
Teh teh teh teh.
Hatari sana.
 
Wagalatia mmeshikwa pabaya leo.

Alieanzisha Uzi yuki wapi?
Au yuko ktk maombi Waislamu wafe?

Teh teh teh teh
 
Ndugu mgalatia tatizo lenu nyie macho yenu ni km kunguru. Mnaona upande mmoja tu.

Huyu Katonta aliyeanzisha Uzi kauliza Swali la Kawaida au LINALOHUSU DINI?

Sasa mimi nisipomjibu KIDINI ulitaka nimjibu kwa nyimbo za KWAYA?

Yeye kaja hapa KUKASHIFU UISLAMU kwa Kusingizia kuwa UISLAMU umeita watoto wa nje ya Ndoa "Wanaharamu". Na bahati mbaya hakujua kuwa KAULI HIO IMETOLEWA NA BIBILIA na sio QURAAN ya waislamu.

Sasa hapa ninachofanya ni KUONYESHA UKWELI TU na si jingine. Na wewe kuandika kuwa mimi ni MDINI kwa hilo nashkuru sana.
Mimi NDANI YA DAMU YANGU Kumejaa Dini yangu. Na Niko tayari kueleza UKWELI japo Makafiri watachukia.

Upo hapo !

Na yeye ameliona hilo kupitia waislamu wenzio kwa maana hilo jina linaweza lisipatikane katika Quran lakini nyinyi ndo mnalitumia zaidi huku wakristu wengi tukitumia neno " mtoto wa nje ya ndoa"....na kwa mantiki hiyo ya uhalisia ndio akatoa Mada.pia ndugu yangu elewa si kila kilichopo katika agano LA kale twakifuata maana tunafuata maandiko yaliyotimilishwa na Kristu...

Lakini pia si vyema kutumia neno haramu kwa kuwa ni neno lililojaa udhalilishaji hivyo, kwa yeyote alitumiae regardless na dini yake anatakiwa kuelewa kuwa hakujiumba katika tumbo LA mke halali na iyo inampa haki sawa hata alie wa nje ya ndoa kwa maana hata yeye ni mwanadamu tayari na kufuata asili yake hadi katika maisha yake ni upumbavu uliotukuka
 
Leo ningeomba kupewawa ufafanuzi kuhusu mtoto haramu.

Katika dini ya Uislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa huwa anaitwa mtoto haramu.

Kwa hoja hii huwa napata maswali kadhaa, yakiwemo haya.
1. Je, hawa watoto haramu huwa wanaumbwa na Mungu (Allah).
2. Je, mtoto alizaliwa nje ya ndoa (haramu), ambaye mamaye na babaye ni waislamu japo ni nje ya ndoa, huyu mtoto haramu akuwa ni mwislamu au siyo Mwislamu?

Karibu mnaojua hii kitu mnipe ufafanuzi.

Usiandike Uongo Mdau, yesu kakataza UONGO.
.Hebu msome huyo mgalatia hapo JUU.
Je Amedai "kayaona hayo kwa WAISLAMU? Au ktk "DINI YA UISLAMU"?!

HUYU Maluuni Amedai UISLAMU ndio umewaita watoto hao kuwa ni Wa HARAMU. kutahamaki Kumbe UISLAMU NI MSAFI! WALA HAUJAWAHI KUITA MTOTO YYT NI WA HARAMU bali kauli hio IMETOLEWA NA BIBILIA , tena Sio Mstari mmoja bali iko zaidi ya 34 inayotaja WATOTO WA HARAMU.

Na kuhusu Nyie kukubali au kukataa baadhi ya MAANDIKO YA AGANO LA KALE hilo Ni kosa kubwa sana ktk Imani yako manake YESU Hakupinga hatta Neno moja ya Agano la kale bali ALIHIMIZA Maandiko yote Yafuatwe na Kuheshimiwa.

Yesu kwa kauli yake anasema.
MATHAYO 5:17-19

17.Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

SASA Wewe ukipinga NENO MOJA TU ktk TORATI (Agano la kale) basi Utaitwa mdogo sana ktk Ufalme wa Mungu na utalaaniwa Milele. Na ukizitenda na Kuzifuata AMRI ZA AGANO LA KALE Basi Utaitwa Mkubwa ktk ufalme wa Mungu.

Sasa wewe nani alikupa Ruksa ya Kuchagua chagua Sheria za Mungu?

Ahsanta.
 
Usiandike Uongo Mdau, yesu kakataza UONGO.
.Hebu msome huyo mgalatia hapo JUU.
Je Amedai "kayaona hayo kwa WAISLAMU? Au ktk "DINI YA UISLAMU"?!

HUYU Maluuni Amedai UISLAMU ndio umewaita watoto hao kuwa ni Wa HARAMU. kutahamaki Kumbe UISLAMU NI MSAFI! WALA HAUJAWAHI KUITA MTOTO YYT NI WA HARAMU bali kauli hio IMETOLEWA NA BIBILIA , tena Sio Mstari mmoja bali iko zaidi ya 34 inayotaja WATOTO WA HARAMU.

Na kuhusu Nyie kukubali au kukataa baadhi ya MAANDIKO YA AGANO LA KALE hilo Ni kosa kubwa sana ktk Imani yako manake YESU Hakupinga hatta Neno moja ya Agano la kale bali ALIHIMIZA Maandiko yote Yafuatwe na Kuheshimiwa.

Yesu kwa kauli yake anasema.
MATHAYO 5:17-19

17.Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

SASA Wewe ukipinga NENO MOJA TU ktk TORATI (Agano la kale) basi Utaitwa mdogo sana ktk Ufalme wa Mungu na utalaaniwa Milele.

Ahsanta.

Siku zote tunapata picha halisi ya uhalali wa vitu Fulani katika dini za watu wengine kupitia waumini thabiti wa dini hiyo na ndio point yangu ilipo.....
Kumbuka ndugu waweza kuvijua vipengele na vifungu vingi katika biblia lakini nakuhakikishia...hutokuja kuijua kama Mimi Ninaeiishi kila siku kwa maana Mimi siishi katika macho ya watu ili wanione mjuaji na mwenye haki Bali huiishi ili ipate kuniimarisha kiimani na kimaten...

Kama amri kuu nilioipokea toka kwa kristu ni upendo na hasa kwa watu kama wewe hivyo, ntaiishi hii amri daima kwa kuwa hakuna amri iwezayo kuwepo bila amri hii na pia hakuna utu bila amri hii... Kwangu yatosha kuliko hata huo uharam wa nguruwe mnaoupigia debe... Safisha kwanza ndani yako
 
Leo ningeomba kupewawa ufafanuzi kuhusu mtoto haramu.

Katika dini ya Uislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa huwa anaitwa mtoto haramu.

Kwa hoja hii huwa napata maswali kadhaa, yakiwemo haya.
1. Je, hawa watoto haramu huwa wanaumbwa na Mungu (Allah).
2. Je, mtoto alizaliwa nje ya ndoa (haramu), ambaye mamaye na babaye ni waislamu japo ni nje ya ndoa, huyu mtoto haramu akuwa ni mwislamu au siyo Mwislamu?

Karibu mnaojua hii kitu mnipe ufafanuzi.
Acha uongo kafiri wewe.

Wapi uislamu umemuita mtoto wa zinaa kuwa ni Mtoto wa haramu?

Leta ushahidi wa aya (kama wewe sio muongo)
 
Siku zote tunapata picha halisi ya uhalali wa vitu Fulani katika dini za watu wengine kupitia waumini thabiti wa dini hiyo na ndio point yangu ilipo.....
Kumbuka ndugu waweza kuvijua vipengele na vifungu vingi katika biblia lakini nakuhakikishia...hutokuja kuijua kama Mimi Ninaeiishi kila siku kwa maana Mimi siishi katika macho ya watu ili wanione mjuaji na mwenye haki Bali huiishi ili ipate kuniimarisha kiimani na kimaten...

Kama amri kuu nilioipokea toka kwa kristu ni upendo na hasa kwa watu kama wewe hivyo, ntaiishi hii amri daima kwa kuwa hakuna amri iwezayo kuwepo bila amri hii na pia hakuna utu bila amri hii... Kwangu yatosha kuliko hata huo uharam wa nguruwe mnaoupigia debe... Safisha kwanza ndani yako
Kauli kama hizi mbona sio ngeni hapa!?
Killa mmoja wenu adai anampenda Yesu kuliko mwingine.
Nakuuliza hivi, ukidai unampenda mtu fulani Si Lazima umfuate kila anachoamrisha na kufanya?

Vipi udai kumpenda Yesu hali ya kuwa Hufuati aliyofanya na kufundisha?

Halafu Toka lini Dira ya kutazama IMANI fulani Itokane na matendo ya Waumini wake?

Yaani mimi nikitaka Kuufahamu UKRISTO nikaamua kutazama wale WACHUNGAJI wanaofunga NDOA ZA JINSIA MOJA nitakuwa Nimefanya Haki hapo?
 
Acha uongo kafiri wewe.

Wapi UISLAMU umemuita mtoto wa ZINAA kuwa ni Mtoto wa HARAMU?

Leta ushahidi wa aya (kama wewe sio mungo)
Unawatukana wenzako kama umezaliwa nje ya ndoa wewe ni haramu, hilo hutalivua. Society we are living in inawachukulia hivyo. Bastards!
 
Yaani tumepiga mechi, tumefungana magoli, tumeburudika, halafu tunapata mtoto, mtu anakuja kumwita mwanangu haramu haki ya mungu nalala naye mbele
1) Hakuna aya ya Quran inayomwita mtoto wazinaa kwa jina la mtoto wa haramu.

2) Kitendo cha zinaa ndio cha haramu (mtoto hana makosa, wazazi ndio wenye makosa ya zinaa)

3) Je wewe Mkwenda mtu akizini na mama yako nje ya ndoa utaridhika?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom