Nendeni kwa wataalamu wa afya. Mkeo yuko active? Mama akiwa mvivu na mtoto anarelaxHabari wadau...
Nauliza kama mtoto anatakiwa kucheza kila siku tumboni ama lah...
Nimepata mashaka kwani mke wangu anasema toka juzi mtoto hajacheza, mimba kwa sasa ina miezi mitano!
Naombeni mawazo yenu au pengine huduma ya kwanza kabla hatujakwenda hospital.
Mshauri atembee pia kufanya kazi za ndani mimba si ugonjwaYupo nyumbani tu..muda mwingi analala!