Kuhusu mtoto kucheza tumboni...

Kuhusu mtoto kucheza tumboni...

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Habari wadau...

Nauliza kama mtoto anatakiwa kucheza kila siku tumboni ama lah...
Nimepata mashaka kwani mke wangu anasema toka juzi mtoto hajacheza, mimba kwa sasa ina miezi mitano!

Naombeni mawazo yenu au pengine huduma ya kwanza kabla hatujakwenda hospital.
 
Nendeni kwa wataalamu wa afya. Mkeo yuko active? Mama akiwa mvivu na mtoto anarelax
 
Nenda hospital Acha uvivu alafu kwa dunia ya sasa inabidi mkeo awe na namba ya daktari wake wa hospital anapofanyia clinic iyo itakuwa rahis kwenu mnapopata tatizo. ..
 
Nashukuru mkuu..nitafanya hivyo
 
Mojawapo ya dalili za hatari kwa mama mjamzito ni mtoto kutocheza zaidi ya masaa 24, akimbie hospitali haraka sana
 
Peleka my wife wako hospital wacha kuja kupiga ramli chonganishi humu JF
 
Back
Top Bottom