Kuhusu Muslim University Morogoro (MUM)

Kuhusu Muslim University Morogoro (MUM)

WIZ KID

Senior Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
135
Reaction score
4
wapemdwa naombneni msaada. kwa upande was education wana chukua mwisho point ngapi kwale form six wa miaka ya nyuma
 
iv kuna fakat nyingine tofaut na education pale MUM?
 
Nashukur sana mkubwa kwa kuweka na link kabisa. ila naomba ni saidie nini hasamaana ya direct entry

Nilivyoelewa mimi ni kuwa ukikidhi hivyo vigezo hakutakuwa na mtihani tena wa udahili.

Lakini kwanini hauwasilini nao moja kwa moja?: Contact Us kwa kupata maelezo ya kina zaidi.
 
Ukitoka pale utakuwa MAALIMU na sio MWALIMU. Na utaweza kufundisha MADRASSA na sio MADARASA. Pia utakuwa na ILIMU na sio ELIMU
 
Nashukur sana mkubwa kwa kuweka na link kabisa. ila naomba ni saidie nini hasamaana ya direct entry

Ni kupata nafasi kwa kutumia matokeo yako ya form six moja kwa moja ambayo yatakidhi vigezo vya chuo na TCU.
 
Ukitoka pale utakuwa MAALIMU na sio MWALIMU. Na utaweza kufundisha MADRASSA na sio MADARASA. Pia utakuwa na ILIMU na sio ELIMU

Pale kuna wanazuoni wa ukweli kabisa shekhe,usichukulie poa
 
Samahan Wakuu Kwa Yeyote Atakayependa Kufaham Undan Wa Chuo Cha Mum Ni Bora Aende Kwenye Website Yao Www.Mum.Ac.Tz Coz Hum Ndan Kuulizia Hko Chuo Ni Kuleta Mtafaruk.
 
Hakuna Ukwel Wowote Elimu Inayotolewa Mum Ni Sawa Na Vyuo Vingne Course Ni Zile Zile. Na Sehem Yeyote Kwenye Taasisi Za Din Lazima Watu Watafunzwa Kwa Maadil Ya Din Yao. Ndicho Kinachofanyika Mum Na Sio Kuwatoa Maustadh Bal Waalim Wenye Maadil Mazur Ya Dini.
 
Back
Top Bottom