Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho chuo mwalimu ustaadh hakikufai.
Hicho chuo mwalimu ustaadh hakikufai.
Hicho chuo mwalimu ustaadh hakikufai.
Hicho chuo mwalimu ustaadh hakikufai.
Si ingia kwenye website yao na ukikosa unachokihitaji uwasiliane nao moja kwa moja.
Link hii: Admissions Requirement
Humu kuna watu wana Islamophobia utawaona tu wanavyojibu.
Nashukur sana mkubwa kwa kuweka na link kabisa. ila naomba ni saidie nini hasamaana ya direct entry

iv kuna fakat nyingine tofaut na education pale MUM?
Ukitoka pale utakuwa MAALIMU na sio MWALIMU. Na utaweza kufundisha MADRASSA na sio MADARASA. Pia utakuwa na ILIMU na sio ELIMU