Huyo jamaa ni mganga wa kienyeji anaishi msata,jina lake halisi ni Maduhu Pikipiki usishangae jina ni msukuma huyo,hanapatikani kwa sasa hewani kwasababu anamadeni na wateja wake aliowatengenezea dawa za kupata wachumba lakini hawajapata mapaka sasa,aliowapa dawa za kuongeza makalio lakini hawajafanikiwa,aliowapa dawa za kurefusha uume lakini uume hazijarefuka mpaka sasa.Kifupi maisha yake ni yakujifichaficha na kibaya zaidi ametoroka na mgonjwa mmoja wa kike eti kaenda kumpa dawa.Ni mganga wa kienyeji ila ni sharobaro sana,dawa zake anatumia hotpot kupeleka kwa wagonjwa wa mbali,haagizi kuku yeye anaagiza ma jeans na pizza .Kwa info zaidi ni pm