Kuhusu NACTE registration number kwenye kuomba ajira za ualimu

LDA COMPANY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
340
Reaction score
622
Habari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma.

Kuna namba iko kwenye cheti cha chuo ila nikiweka haikubali niweke nta level pia niattach cheti.
 
Relax kwanza vuta pumzi ndouanze kuandika kwa umakini acha wenge
 
Wewe unapoteza muda tu hizo ajira huwezi kupata ...ikariri id yangu siku wakitoa pdf utaniambia
 
Back
Top Bottom