LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 622
Relax kwanza vuta pumzi ndouanze kuandika kwa umakini acha wengeHabari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma.
Kuna namba iko kwenye cheti cha chuo ila nikiweka haikubali niweke nta level pia niattach cheti.
sio ile AVN inayotolewa na nacte?Namba yako ya chuo
Msaada mkuu maana kuna mtu kanambia namba niifuate nacteRelax kwanza vuta pumzi ndouanze kuandika kwa umakini acha wenge
ingia NACTE jisajili watakupa AVN nosio ile AVN inayotolewa na nacte?
Sawaingia NACTE jisajili watakupa AVN no
hiyo ndio uitumie hapo.over
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unapoteza muda tu hizo ajira huwezi kupata ...ikariri id yangu siku wakitoa pdf utaniambia