Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Waziri Lukuvi. Sisi wapangaji tunakupa kongole nyingi sana kwa tamko lako la hivi majuzi,, sambamba na hilo bado umeacha ombwe la uwepo wa madalali kitu ambacho sisi hatujaona umuhimu wake ..
Serikali sikivu yenye viongoz sikivu tungeishauri haya yafuatayo kuondoa kero hiyo ya watu wanaitwa madalali; Kwakua hakuna nyumba iliyojengwa hewani tu ,nyumba zote zipo kweny kata,vijiji na ngaz zingnezo kweny serikali za mitaa ..
Hakuna sababu ya kuwepo dalali, nyumba za kupanga wamiliki wa nyumba waziorodheshe nyumba zao wanazopangisha katika serikal za mitaa na vijiji ama vingnevyo Wanaotafuta nyumba wote wataelekea serikal za mitaa kupata list ya nyumba zilipo mtaa husika na watakapofanikiwa kupata nyumba, walipe asilimia kadhaa kama Ada ya upangaji mtaa huo mf 0.5 au 1% ya kodi ya nyumba . Tatizo lililopo tunaacha sekta isiyorasmi inayoomuumiza mwananch wa kawaida had inakomaa na baadae tunakuja kukosa namna ya kudeal nayo kwa kigezo cha kusema sasa Hawa watu wataenda wap?
Kwa Madai kwamba watakua tishio kweny jamii pale watakapokosa hiyo kazi. Kwa kufanya hvo,tungeondoa mfumo wa Hovyo unaomtesa mpangaj anapohitaj kupanga nyumba lkn pia tungekua tumepata idadi halisi ya nyumba za kupanga ili kuweza kupata mapato ngaz ya mtaa,kata na kuendelea had Taifa.
Haimuhitaj mtu kwenda ulaya ili kusoma module ya usimamiz wa makazi hapa nchini.