Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu... tukienda na uhalisia Sallam sio wa kutafuta kiki kwa SevenSallam kutafuta kick kwa Seven vepeeee?
Yani mmeona kick zote hata ya Simba Jr imebuma mnataka kuipata kwa Le Super manager?
Heheeeeee yule Mdada na Sallam wapi na wapi?
Anapoteza muda tu.
Pia kiuhalisia Seven hawezi kutoa kick kwa Sallam,ni watu wawili tofauti.Mkuu... tukienda na uhalisia Sallam sio wa kutafuta kiki kwa Seven
Mbona Yule binti mwenywe Sio mzuri wakusema anatishia amani[emoji13] [emoji13] [emoji13]Pia kiuhalisia Seven hawezi kutoa kick kwa Sallam,ni watu wawili tofauti.
The bold we noma sana. Ile kitu story ya kumatamata Osama balaa sana. Upande ule unatisha sana."Niliona mapato ya Ali Kiba yanapotea Kenya, nilimwambia Tale ampigie Seven Mosha na nikamtajia hadi jina la mtu anayewaibia."
- Sallam Mendez
Sisi ni Wasafi sio kwenye mziki tu bali mpaka rohoni.
Cc: Nifah
Wewe wasema,hapa tunajadili alichokisema Sallam.Mbona Yule binti mwenywe Sio mzuri wakusema anatishia amani[emoji13] [emoji13] [emoji13]
hivi vitu vingine vinaua seli nyingi za ubongohata sielewi wanasema nini naona tu dzm online
Huna jipyaSallam kutafuta kick kwa Seven vepeeee?
Yani mmeona kick zote hata ya Simba Jr imebuma mnataka kuipata kwa Le Super manager?
Heheeeeee yule Mdada na Sallam wapi na wapi?
Anapoteza muda tu.