Kuhusu Ommy Dimpoz, Alikiba na Mr Nice, yamezungumzwa haya na Meneja wa Diamond

‘Kama hauko upande wangu lazima unichukie,mimi hata kitu sio
kizuri nitalazimisha kiwe kizuri’-Sallam Sk


Alafu mkiitwa team Ujanja Ujanja mnataka kurusha ngumi na kusema Watu wanapumuliwa
 
Sallam kutafuta kick kwa Seven vepeeee?
Yani mmeona kick zote hata ya Simba Jr imebuma mnataka kuipata kwa Le Super manager?
Heheeeeee yule Mdada na Sallam wapi na wapi?
Anapoteza muda tu.
Mkuu... tukienda na uhalisia Sallam sio wa kutafuta kiki kwa Seven
 
Pia kiuhalisia Seven hawezi kutoa kick kwa Sallam,ni watu wawili tofauti.
Mbona Yule binti mwenywe Sio mzuri wakusema anatishia amani[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Sawa tumemuelewa,ila Namuonea huruma sana Omari Nyembo tabia zake za ukike kike dizain km zina mcost hivi,aache ucho.ko awe true gentleman usnitch unamfanya atengwe,maana hata Kiba naona kaanza kumpotezea kimtindo...
 
"Niliona mapato ya Ali Kiba yanapotea Kenya, nilimwambia Tale ampigie Seven Mosha na nikamtajia hadi jina la mtu anayewaibia."
- Sallam Mendez


Sisi ni Wasafi sio kwenye mziki tu bali mpaka rohoni.

Cc: Nifah
The bold we noma sana. Ile kitu story ya kumatamata Osama balaa sana. Upande ule unatisha sana.
 
Mwaka 2017 Turanians sana Marekani, na yy ndio muunganishaji wa kolabo za kimataifa, nafikir nimemuelewa
 
Sallam kutafuta kick kwa Seven vepeeee?
Yani mmeona kick zote hata ya Simba Jr imebuma mnataka kuipata kwa Le Super manager?
Heheeeeee yule Mdada na Sallam wapi na wapi?
Anapoteza muda tu.
Huna jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…