kwa masomo ya kufundisha wanaangalia sana shahada yako ulisomea fAni gani, mfano mi nina shahada ya bba, nachukua somo la economics, commerce au bookeeping. ila pia unaweza kuchukua somo lingine zaidi ya hayo sema ukichukua inabidi usome na content za somo husika. Mfano mimi kwa vile nina bba nasoma tu business teaching methods, ila kwa ambaye ana shahada ya law akitaka kufundisha masomo ya business, inabidi achukue business method teaching na contents za kila somo husika, mfano kama ni economics content ni kama macro, micro, budgwt, etc