Kuhusu Post Graduate Diploma in Education

Kuhusu Post Graduate Diploma in Education

Mngoni Mrefu

Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
20
Reaction score
1
wakuu ningependa kujua vigezo vinavyo tumika kupata masomo yakufundishia kwa aliye soma post graduate diploma in education hasa kwa wale waliosoma shahada isikuwa ya uwalimu
 
kwa masomo ya kufundisha wanaangalia sana shahada yako ulisomea fAni gani, mfano mi nina shahada ya bba, nachukua somo la economics, commerce au bookeeping. ila pia unaweza kuchukua somo lingine zaidi ya hayo sema ukichukua inabidi usome na content za somo husika. Mfano mimi kwa vile nina bba nasoma tu business teaching methods, ila kwa ambaye ana shahada ya law akitaka kufundisha masomo ya business, inabidi achukue business method teaching na contents za kila somo husika, mfano kama ni economics content ni kama macro, micro, budgwt, etc
 
Back
Top Bottom