Ndugu zangu naombeni kujuzwa vyuo vinavyotoa post graduate ya ualimu hapa Dsm na gharama zake shilingi ngapi? na huwa application ni mwezi wa ngapi??
##nawasilisha....
kwa dar kuna open university na udsm, duce sijajua na ada ni milioni tatu had unamaliza. mda ni mwaka mmoja ama semista 2. deadline ishaisha ila hapa open wameongeza had tareh 31/10 mwaka huu baada ya hapo hawatapokea tena. Mi nipo out hapo nasoma hiyo koz na tumeanza mwez huu wa 10 ila masomo yanaaza mwez ujao tarehe 3.. karibu mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.