Kuhusu post graduate in education

Kuhusu post graduate in education

Kakakuona

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
345
Reaction score
201
Ndugu zangu naombeni kujuzwa vyuo vinavyotoa post graduate ya ualimu hapa Dsm na gharama zake shilingi ngapi? na huwa application ni mwezi wa ngapi??
##nawasilisha....
 
Do not underestimate the power of Google and other search engine!
 
kwa dar kuna open university na udsm, duce sijajua na ada ni milioni tatu had unamaliza. mda ni mwaka mmoja ama semista 2. deadline ishaisha ila hapa open wameongeza had tareh 31/10 mwaka huu baada ya hapo hawatapokea tena. Mi nipo out hapo nasoma hiyo koz na tumeanza mwez huu wa 10 ila masomo yanaaza mwez ujao tarehe 3.. karibu mkuu
 
Mkuu kayimukaa hapo out dealine hiyo 31/10 ni kwa hyo course tu au hata programmes zengine za masters hawapokei tena?
 
Back
Top Bottom