kwa dar kuna open university na udsm, duce sijajua na ada ni milioni tatu had unamaliza. mda ni mwaka mmoja ama semista 2. deadline ishaisha ila hapa open wameongeza had tareh 31/10 mwaka huu baada ya hapo hawatapokea tena. Mi nipo out hapo nasoma hiyo koz na tumeanza mwez huu wa 10 ila masomo yanaaza mwez ujao tarehe 3.. karibu mkuu